Shotocan Tlaatlaah Lucas Mwashambwa chiembeBila amani huwezi fanya kitu Mchungaji Kimaro kapotoka kwenye hilo
Amani ni kitu cha kwanza kabisa ili vingine vifanyike
Biblia inasema kwenye Mwanzo 1:2-3
"Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
3 Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru."
Nchi ilipokuwa imejaa ukiwa na utupu na giza Roho ya Mungu ilitakiwa kuwa na amani kwanza ndipo akaanza kuumbs nuru nk
Bila amani hakuna kiwezacho fanyika iwe haki au chochote
Israel walipoona jeshi la farao liko nyuma na mbele kuna bahari walichanganyikiwa wakaambiwa wawe na amani ili wauone uwezo wa Mungu
Penye amani vingi vyaweza fanyika
Nchi kama kongo wana mali za asili zote ukosefu wa amani tu ndio kipengele kinawafanya wasiendelee na ukiwauliza wanasema wazi hitaji lao kubwa ni amani
Haki gani wakati waliisha jipa wenyeweHivi kule chadema wale COVID 19 ni lini watapatiwa haki zao ?
Priority ya kwanza popote iwe nchi,familia nk ni amani kwanza kabla ya siasa uchumi biashara nk
Amani hulindwa piaWakiwakwaza sana hawataweza kuwazuia wakiamua kudai haki kwa namna yao.....😥😥😥
Haki hipi ambayo hawajapewaHivi kule chadema wale COVID 19 ni lini watapatiwa haki zao ?
Haki huinua taifaPriority ya kwanza popote iwe nchi,familia nk ni amani kwanza kabla ya siasa uchumi biashara nk
Upo kwenye Cognitive Dissonance.Bila amani huwezi fanya kitu Mchungaji Kimaro kapotoka kwenye hilo
Amani ni kitu cha kwanza kabisa ili vingine vifanyike
Biblia inasema kwenye Mwanzo 1:2-3
"Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
3 Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru."
Nchi ilipokuwa imejaa ukiwa na utupu na giza Roho ya Mungu ilitakiwa kuwa na amani kwanza ndipo akaanza kuumbs nuru nk
Bila amani hakuna kiwezacho fanyika iwe haki au chochote
Israel walipoona jeshi la farao liko nyuma na mbele kuna bahari walichanganyikiwa wakaambiwa wawe na amani ili wauone uwezo wa Mungu
Penye amani vingi vyaweza fanyika
Nchi kama kongo wana mali za asili zote ukosefu wa amani tu ndio kipengele kinawafanya wasiendelee na ukiwauliza wanasema wazi hitaji lao kubwa ni amani
Sio wanachama wa cdm, wapatiwe vipi haki zao.Hivi kule chadema wale COVID 19 ni lini watapatiwa haki zao ?
Haki ndiyo iletayo amani na utuliviBila amani huwezi fanya kitu Mchungaji Kimaro kapotoka kwenye hilo
Amani ni kitu cha kwanza kabisa ili vingine vifanyike
Biblia inasema kwenye Mwanzo 1:2-3
"Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
3 Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru."
Nchi ilipokuwa imejaa ukiwa na utupu na giza Roho ya Mungu ilitakiwa kuwa na amani kwanza ndipo akaanza kuumbs nuru nk
Bila amani hakuna kiwezacho fanyika iwe haki au chochote
Israel walipoona jeshi la farao liko nyuma na mbele kuna bahari walichanganyikiwa wakaambiwa wawe na amani ili wauone uwezo wa Mungu
Penye amani vingi vyaweza fanyika
Nchi kama kongo wana mali za asili zote ukosefu wa amani tu ndio kipengele kinawafanya wasiendelee na ukiwauliza wanasema wazi hitaji lao kubwa ni amani
Wacha upotoshaji, inaanza HAKI..Penye amani vingi vyaweza fanyika
Haki ya nini wanaidai CHADEMA?Hivi kule chadema wale COVID 19 ni lini watapatiwa haki zao ?
Unadhani milichowafanyie nyie nyumbu tena wanawke mnaona ilikuwa ni sawa ?Kwani wamenyimwa haki wewe fault finders?
Muulize Lema atakujibu vizuri ,nasikia ni nabii wa chadema 🙆♂️🙆♂️Haki ya nini wanaidai CHADEMA?
Si mliwapeleka bungeni na baadae mkawakana ?au ?Haki gani wakati waliisha jipa wenyewe
Atukuzwe Mungu MileleTwende Mbele turudi nyuma, Elimu DUNIA ni kitu muhimu sana.
Inakutoa kwenye Utumwa wa Akili na kukupeleka kwenye SELF -REALIZATION.
kwa Maoni yangu mimi Dr. Megalodon Ndesaruo Mushi; Hotuba ya Rais ya jana imesisitiza sana Amani: huku ikisahau haki na Usawa. Hii ni sawa na kukimbia KIVULI chako…
"Hatuna shida kubwa ya amani, lakini tuna shida kubwa ya haki. Haki inahitajika sana katika maisha yetu, familia, taasisi tunazotumikia na duniani kote. Tunaomba haki itendeke kwa maana kama hakuna amani hakutokuwa na haki" - Mchungaji Eliona Kimaro
View attachment 3316334
Ukiachana na wazee wa Ubwabwa hakuna mtu anashida na amani.Twende Mbele turudi nyuma, Elimu DUNIA ni kitu muhimu sana.
Inakutoa kwenye Utumwa wa Akili na kukupeleka kwenye SELF -REALIZATION.
kwa Maoni yangu mimi Dr. Megalodon Ndesaruo Mushi; Hotuba ya Rais ya jana imesisitiza sana Amani: huku ikisahau haki na Usawa. Hii ni sawa na kukimbia KIVULI chako…
"Hatuna shida kubwa ya amani, lakini tuna shida kubwa ya haki. Haki inahitajika sana katika maisha yetu, familia, taasisi tunazotumikia na duniani kote. Tunaomba haki itendeke kwa maana kama hakuna amani hakutokuwa na haki" - Mchungaji Eliona Kimaro
View attachment 3316334
100%Our biggest problem ni HAKI