Hivi kule chadema wale COVID 19 ni lini watapatiwa haki zao ?Twende Mbele turudi nyuma, Elimu DUNIA ni kitu muhimu sana.
Inakutoa kwenye Utumwa wa Akili na kukupeleka kwenye SELF -REALIZATION.
kwa Maoni yangu mimi Dr. Megalodon Ndesaruo Mushi; Hotuba ya Rais ya jana imesisitiza sana Amani: huku ikisahau haki na Usawa. Hii ni sawa na kukimbia KIVULI chako…
View attachment 3316334
Kuna amani ya Uoga. Eliona ameweka vema. Tunashida kubwa ya Haki….. kwakua haki hakuna, metaphorically hatuna AmaniPastor John hagee kwenye ujumbe wake unakichwa "The God of Peace" anakufundisha amani Nini you will come to realize Tanzania hatuna amani "There is no peace without right"
Watawala wanajua hilo waaaaay back, so wanachukua hatua gani, launch brainwashing campaign kaa kutumia siasa, and if doesnt work polis ku force mtazamoPastor John hagee kwenye ujumbe wake unakichwa "The God of Peace" anakufundisha amani Nini you will come to realize Tanzania hatuna amani "There is no peace without right"
Bila haki hakuna amani, huo ndo ukweli mchungu👿Kuna amani ya Uoga. Eliona ameweka vema. Tunashida kubwa ya Haki….. kwakua haki hakuna, metaphorically hatuna Amani
Wenye self realization mtamueelewa vema Mch. Eliona Kimaro
Huyu si juzi tuu waliji selfie na malasusa wakiwa na huyo bibi ushungi pale ikulu mie nikajua wote wimbo wao ni amani bila haki, malasusa anawauza sana kwa roman cathilic ngumu sana viongozi wake kununuliwa na serikali labda yeye mwenyewe awe na hulka ya unafiki binafsiTwende Mbele turudi nyuma, Elimu DUNIA ni kitu muhimu sana.
Inakutoa kwenye Utumwa wa Akili na kukupeleka kwenye SELF -REALIZATION.
kwa Maoni yangu mimi Dr. Megalodon Ndesaruo Mushi; Hotuba ya Rais ya jana imesisitiza sana Amani: huku ikisahau haki na Usawa. Hii ni sawa na kukimbia KIVULI chako…
"Hatuna shida kubwa ya amani, lakini tuna shida kubwa ya haki. Haki inahitajika sana katika maisha yetu, familia, taasisi tunazotumikia na duniani kote. Tunaomba haki itendeke kwa maana kama hakuna amani hakutokuwa na haki" - Mchungaji Eliona Kimaro
View attachment 3316334
Dola wanapenda kutumia propaganda sana. Lakini viongozi wa kikristu wakitoka hapo huwa akili zao zinakuwa sawaHuyu si juzi tuu waliji selfie na malasusa wakiwa na huyo bibi ushungi pale ikulu mie nikajua wote wimbo wao ni amani bila haki, malasusa anawauza sana kwa roman cathilic ngumu sana viongozi wake kununuliwa na serikali labda yeye mwenyewe awe na hulka ya unafiki binafsi
Our biggest problem ni HAKIKuna amani ya Uoga. Eliona ameweka vema. Tunashida kubwa ya Haki….. kwakua haki hakuna, metaphorically hatuna Amani
Wenye self realization mtamueelewa vema Mch. Eliona Kimaro
A sababu haki na uhuru ukipatika mnakuwa bianafsi ni bora tuinge ccm kuliko hzo haki zenu vigangoniDola wanapenda kutumia propaganda sana. Lakini viongozi wa kikristu wakitoka hapo huwa akili zao zinakuwa sawa
Shida ni viongozi wa upande ule…. They dont have time to think and process
Bila amani huwezi fanya kitu Mchungaji Kimaro kapotoka kwenye hiloPastor John hagee kwenye ujumbe wake unakichwa "The God of Peace" anakufundisha amani Nini you will come to realize Tanzania hatuna amani "There is no peace without right"