Mchungaji Eliona Kimaro: Hatuna shida na amani tuna shida na haki

Wakiwakwaza sana hawataweza kuwazuia wakiamua kudai haki kwa namna yao.....πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯
 
Shotocan Tlaatlaah Lucas Mwashambwa chiembe
Kwani nyie ndugu zetu mnaugomvi gani na haki?
 
Wakiwakwaza sana hawataweza kuwazuia wakiamua kudai haki kwa namna yao.....πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯
Amani hulindwa pia
Usifikiri ukilianzisha utaachiwa tu kuna waliopewa jukumu la kulinda hiyo amani dhidi ya ngedere yeyote atakayetaka kukiinukisha kuvuruga amani
 
Upo kwenye Cognitive Dissonance.

Unajua maana ya Metaphorically ? Unayo Elimu Dunia kweli? 🀣 au ndio wale Elimu dunia haikupeleki mbinguni ?

Head up ! Metaphorically Mchungaji kasema Tanzania Hakuna Aman
 
Amani hulindwa pia
Usifikiri ukilianzisha utaachiwa tu kuna waliopewa jukumu la kulinda hiyo amani dhidi ya ngedere yeyote atakayetaka kukiinukisha kuvuruga amani
Unailindaje ?
 
Haki ndiyo iletayo amani na utulivi

Amani hulazimishwa kuwepo kwa kutumia mapolisi wenye mabomu na mitutu ya bunduki kama ilivyofanyika Jana wakati wa kesi ya Lisu
 
Atukuzwe Mungu Milele
 
Ukiachana na wazee wa Ubwabwa hakuna mtu anashida na amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…