Mchungaji Eliona Kimaro: Hatuna shida na amani tuna shida na haki

"Hatuna shida kubwa ya amani, lakini tuna shida kubwa ya haki. Haki inahitajika sana katika maisha yetu, familia, taasisi tunazotumikia na duniani kote. Tunaomba haki itendeke kwa maana kama hakuna amani hakutokuwa na haki" - Mchungaji Eliona Kimaro
————————————————————————-

Umemnukuu vibaya hapo (see underlined). Alisema, “…kama hakuna haki hakutokuwa na amani”.
 
Jamaa alitaka kupindua meza😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…