Sio wakristo haoTwende Mbele turudi nyuma, Elimu DUNIA ni kitu muhimu sana.
Inakutoa kwenye Utumwa wa Akili na kukupeleka kwenye SELF -REALIZATION.
kwa Maoni yangu mimi Dr. Megalodon Ndesaruo Mushi; Hotuba ya Rais ya jana imesisitiza sana Amani: huku ikisahau haki na Usawa. Hii ni sawa na kukimbia KIVULI chako…
"Hatuna shida kubwa ya amani, lakini tuna shida kubwa ya haki. Haki inahitajika sana katika maisha yetu, familia, taasisi tunazotumikia na duniani kote. Tunaomba haki itendeke kwa maana kama hakuna amani hakutokuwa na haki" - Mchungaji Eliona Kimaro
View attachment 3316334
Mkuu samahani lakini. Walisema ukienda shule angalau unakuwa na self realization.Kw
A sababu haki na uhuru ukipatika mnakuwa bianafsi ni bora tuinge ccm kuliko hzo haki zenu vigangoni
Ndio wakina nani haoG55 wanasemaje Meku
Mchungaji awe makini. Yule Bosi wake Malasusa humwambii kitu kuhusu ccm na madudu yake yote.Twende Mbele turudi nyuma, Elimu DUNIA ni kitu muhimu sana.
Inakutoa kwenye Utumwa wa Akili na kukupeleka kwenye SELF -REALIZATION.
kwa Maoni yangu mimi Dr. Megalodon Ndesaruo Mushi; Hotuba ya Rais ya jana imesisitiza sana Amani: huku ikisahau haki na Usawa. Hii ni sawa na kukimbia KIVULI chako…
"Hatuna shida kubwa ya amani, lakini tuna shida kubwa ya haki. Haki inahitajika sana katika maisha yetu, familia, taasisi tunazotumikia na duniani kote. Tunaomba haki itendeke kwa maana kama hakuna amani hakutokuwa na haki" - Mchungaji Eliona Kimaro
View attachment 3316334
Hili sio kweli kabisa Haki inatangulia mfano rahisi huwezi na amani na Mungu without having righteousness with himBila amani huwezi fanya kitu Mchungaji Kimaro kapotoka kwenye hilo
Amani ni kitu cha kwanza kabisa ili vingine vifanyike
Biblia inasema kwenye Mwanzo 1:2-3
"Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
3 Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru."
Nchi ilipokuwa imejaa ukiwa na utupu na giza Roho ya Mungu ilitakiwa kuwa na amani kwanza ndipo akaanza kuumbs nuru nk
Bila amani hakuna kiwezacho fanyika iwe haki au chochote
Israel walipoona jeshi la farao liko nyuma na mbele kuna bahari walichanganyikiwa wakaambiwa wawe na amani ili wauone uwezo wa Mungu
Penye amani vingi vyaweza fanyika
Nchi kama kongo wana mali za asili zote ukosefu wa amani tu ndio kipengele kinawafanya wasiendelee na ukiwauliza wanasema wazi hitaji lao kubwa ni amani
Sahihi kabisa Lissu afungwe kama muhaini,CDM wakiandamana wazuiwe kwa namna yoyote ili wananchi wasio na hatia waendelee kupata amani kama haki Yao ya msingi,hongera sana mchungani Dr KimaroTwende Mbele turudi nyuma, Elimu DUNIA ni kitu muhimu sana.
Inakutoa kwenye Utumwa wa Akili na kukupeleka kwenye SELF -REALIZATION.
kwa Maoni yangu mimi Dr. Megalodon Ndesaruo Mushi; Hotuba ya Rais ya jana imesisitiza sana Amani: huku ikisahau haki na Usawa. Hii ni sawa na kukimbia KIVULI chako…
"Hatuna shida kubwa ya amani, lakini tuna shida kubwa ya haki. Haki inahitajika sana katika maisha yetu, familia, taasisi tunazotumikia na duniani kote. Tunaomba haki itendeke kwa maana kama hakuna amani hakutokuwa na haki" - Mchungaji Eliona Kimaro
View attachment 3316334
Haki inamilikiwa na wachache.Twende Mbele turudi nyuma, Elimu DUNIA ni kitu muhimu sana.
Inakutoa kwenye Utumwa wa Akili na kukupeleka kwenye SELF -REALIZATION.
kwa Maoni yangu mimi Dr. Megalodon Ndesaruo Mushi; Hotuba ya Rais ya jana imesisitiza sana Amani: huku ikisahau haki na Usawa. Hii ni sawa na kukimbia KIVULI chako…
"Hatuna shida kubwa ya amani, lakini tuna shida kubwa ya haki. Haki inahitajika sana katika maisha yetu, familia, taasisi tunazotumikia na duniani kote. Tunaomba haki itendeke kwa maana kama hakuna amani hakutokuwa na haki" - Mchungaji Eliona Kimaro
View attachment 3316334
Makobaz wanafiki sana ndio maana wengi ni vilaza kweli kweliDola wanapenda kutumia propaganda sana. Lakini viongozi wa kikristu wakitoka hapo huwa akili zao zinakuwa sawa
Shida ni viongozi wa upande ule…. They dont have time to think and process
Yaani we jamaa naona akili inaanzia kichwani inashuka kwenye mkund* ndio inarudi mdomoni maana unaongea mavi mavi.Bila amani huwezi fanya kitu Mchungaji Kimaro kapotoka kwenye hilo
Amani ni kitu cha kwanza kabisa ili vingine vifanyike
Biblia inasema kwenye Mwanzo 1:2-3
"Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
3 Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru."
Nchi ilipokuwa imejaa ukiwa na utupu na giza Roho ya Mungu ilitakiwa kuwa na amani kwanza ndipo akaanza kuumbs nuru nk
Bila amani hakuna kiwezacho fanyika iwe haki au chochote
Israel walipoona jeshi la farao liko nyuma na mbele kuna bahari walichanganyikiwa wakaambiwa wawe na amani ili wauone uwezo wa Mungu
Penye amani vingi vyaweza fanyika
Nchi kama kongo wana mali za asili zote ukosefu wa amani tu ndio kipengele kinawafanya wasiendelee na ukiwauliza wanasema wazi hitaji lao kubwa ni amani
TUTAKUWEPO😎😎Amani hulindwa pia
Usifikiri ukilianzisha utaachiwa tu kuna waliopewa jukumu la kulinda hiyo amani dhidi ya ngedere yeyote atakayetaka kukiinukisha kuvuruga amani
haki gani umepokwa na wakati huo huo uko madhabahuni unahubiri kwa raha zako? watu wengi wajinga kweli.Twende Mbele turudi nyuma, Elimu DUNIA ni kitu muhimu sana.
Inakutoa kwenye Utumwa wa Akili na kukupeleka kwenye SELF -REALIZATION.
kwa Maoni yangu mimi Dr. Megalodon Ndesaruo Mushi; Hotuba ya Rais ya jana imesisitiza sana Amani: huku ikisahau haki na Usawa. Hii ni sawa na kukimbia KIVULI chako…
"Hatuna shida kubwa ya amani, lakini tuna shida kubwa ya haki. Haki inahitajika sana katika maisha yetu, familia, taasisi tunazotumikia na duniani kote. Tunaomba haki itendeke kwa maana kama hakuna amani hakutokuwa na haki" - Mchungaji Eliona Kimaro
View attachment 3316334
haki gani umepokwa mpaka useme unahamasisha uasi?Kutumia Biblia kisiasa hutusaidii Waamini..Amani unaitennga vipi na Haki?
Mgogoro wa Kongo hautokani na kukosa Amani peke yake....kasome vizuri ni Haki za Makundi yapi zimechezewa Hadi Amani maeneo hayo ikaanza kutoweka.
..usiwe muoga kuona Ukweli wa tatizo kubwa la Tanzania kiasi kwamba unatuletea ref butu kiasi hicho..Wewe ni zaidi ya CCM na CHADEMA..
sodoma na gomora walikuwa na haki ya kufirana na mwishioe wakatiwa moto na mwenye dunia na mbingu.Hiyo ni fact inashangaza sana watu kusisitiza uhitaji wa kitu ulichonacho. Unafiki mtupu
Watu wengi wakiwa wakweli hivi huyu maza atatafuta pa kwenda
Hehehe hakuna bunge pale....liko capturedKatibu alikana barua si yake iliyowapeleka Bungeni.Lakini binge halikutaka kusikia
Na nyie mna haki ya kuuaz kuteka na kufunga watu. Subirini kiberiti chenu Mungu anawaandalia.sodoma na gomora walikuwa na haki ya kufirana na mwishioe wakatiwa moto na mwenye dunia na mbingu.
We ni wale wale tu. Unadhani hata ukiandika maelezo mengi itakusaidia nini?😀kiuongozi wa dini unaposema tanzania hakuna haki ni kumkosea MUNGU sana.Nenda kule IRAN kafungue mdomo usema hatuna haki ya kuabudu uone utachofanywa>.acheni ujinga jamani.Tanzania Kuna haki na amani.acheni kushabikia wanasia mana hata wanasiasa hawashabikii mahubiri yenu .you support someone who is teaching rebellion ,one day you miss that opportunity the preach the gospel