dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Achana na Hilo wazo mkuu Ni Bora umshauri awe na utiii tu na kufata misingi ya kanisa la kkkt ,na mambo ya mahubiri yake yako vzrAanzishe ministry yake tu huwezi ukawa perfect na ukategemea kusurvive kwenye haya makanisa ya kimchongo.
Upande upi na wewe mangurukanya ?Uzuri wa hili kanisa ni demokrasia, sio upande ule mwingine kazi ni moja kuitikia amina
Hapo kanisa ni moja tu RC, hayo mengine ni matawi yake.Nilihisi hiki kitu. Makanisa kama KKKT, Anglican na RC yanaongozwa kitaasisi.. nilivyomuona Kimaro nilijua tu kuna kamba ameiruka na atafyatuliwa tu.
Nampenda lkn akiamua kuwa KKKT basi na ayafuate ya KKKT
Bas usiwe unaenda njoo sinza kkkt Kama unamuona Anna ndio kichomi wa kimaroMchungaj Anna ndi tatizo pale kanisan kwetu tangu aje yy wafanyakazi wengi wanaondolewa pale Anna ni mfitini sana.
Ni Kweli Ni yeye Ila kaleta vitu ambavyo mwazo hatukufahamu ila wengine tuliona Ila hatusemaWewe utakuwa Mchungaji Anna wa Kijitonyama halafu unajidai ni muumini
KorogweHivi KKKT KImara mwisho Iko sehemu gani?
Mchungaj Anna ndi tatizo pale kanisan kwetu tangu aje yy wafanyakazi wengi wanaondolewa pale Anna ni mfitini sana.
Mashahidi wa Yehova sio wakristoMimi Nimezaliwa katika familia ya kiluteri na kupata hadi kipaimara ila mambo haya ya migogoro upande wa viongozi yalinikera ukifuatilia chanzo...
Twitter?af siku hizi wanakufr niniWewe jamaa ni mshenzi wa hovyo sijawahi kuona tangu nimejiunga hapa Twitter.
Hivi hawa KKT mbona migogoro yao haiishi? Kanisa linakuwa na migogoro utafikiri chama cha siasa?Kufuatia semina iliyokuwa imeanza katika usharika wa KKKT KIJITONYAMA ikiongozwa na Rev Dr. Eliona Kimaro imelazimika kusimama kufuatia barua aliyopewa ya likizo ya siku 60 na kupelekea kushindwa kuendelea na semina hiyo...
Wapenda ubuyu dah😀Umeongea mengi lkn Mimi naomba kujua tar 8 alimfanya Nini Anna?
Sijaona kosa la mch. KimaroKwenye hili nahisi pastor kimaro ataenda kujitafakari
Mimi ni muumini wa KKKT hapo kijitonyama, shida iliyokuwepo kwa mchungaji kimaro ni kwamba alikua anaenda kinyume na utaratibu wa kanisa na kibaya zaidi alisha onywa zaidi ya mara 3 ila shida yake akiitwa akaonywa anakuja kanisani anaanza kuongea kwa waamini na kurusha vijembe kwa viongozi wake
Tarehe 8 ukiweza fatilia alichokifanya kwa pastor mwenzake ANNA maneno aliyoongea kumuhusu huyo mchungaji kuna jambo utaelewa
Kimaro ana kiburi cha umaarufu
Mchungaji hafati karenda ya kanisa, yeye anafanya mambo yake, aliitwa akaonywa ila akaja kanisani hadharani na kusema hawezi kupangiwa cha kufanya ila Mungu tu, sasa hapo kweli kuna utii,
Kimaro toka amekuja usharikani anazo nyimbo 6 tu anazo imba kutoka kitabu cha tumwabudu Mungu wetu, aliitwa akaambiwa hiki kitu ila akawa mkaidi, ni mchungaji anayependa yeye aongee zaidi, hapendi kuwapa wachungaji wengine nafasi ya kuhubiri, ikitokea mchungaji mwingine akaubiri basi na yeye baada ya mahubiri atasimama na kuanza kujazilishia kuonekana kwamba mwenzake hajafanya kama inavyo paswa. Ni kimaro na masai wa kimara ambao ukifatilia utaratibu wanao ufanyq kanisani siyo wa kkkt ila najua wachache sana wataelewa hili.
Kama mtaweza kumbuka pia aliondolewa kwenye vipindi vya upendo Tv kisa mambo yake hayo ya kufanya kinyume na utaratibu wa kanisa ikabidi wamuonye ila akakaidi, baada ya kuondolewa alikuja kanisani hadharani na kuanza kusimanga na kuongea mbovu na tokea hapo hajawahi kutangaza kitu chochote kinacho husu upendo kama magazeti,
Alitamba sana kwamba kwa jinsi alivyo barikiwa na Mungu hakuna mwanadamu wa kumshusha hapo alipo, na haya alikua anaongea kanisani mbele ya waamini na kujitapa kabisa
Kwa sisi waamini wachache ambao tulikua tunamuona kanisani na kutambua madhaifu yake tulijua hana mda mrefu atapigwa chini na kweli leo kaondoka
Wengi mnaongea hamjui kilicho nyuma ya huyu kimaro ila nakuhakikishia KKKT KIJITONYAMA haiwezi kutetereka kisa kimaro kuondolewa na alishasema akitolewa kujitonyama basi ataanzisha kanisa lake, ngoja nione atakachofanya baada ya hili.
Namuombea hekima na maarifa atambue kosa lake arudi kundini na awe mnyenyekevu kwa Mungu na Viongozi na Kanisa kwa ujumla.
ANAYEFATA NI MASAI WA KIMARA MWISHO.
Hapa siyo twitter mkuu hapa ni home of great thinker where we dare to speak openly JamiiforumWewe jamaa ni mshenzi wa hovyo sijawahi kuona tangu nimejiunga hapa Twitter.
Hakunaga maandalizi Ndugu yangu, zile nyimbo Wala hazina hata upako. To be honest, Huwa sipendi maana mpiga vyombo na muimbaji wote ni tofauti, wakiwa na maandalizi ni sawa. Kuna muda mchungaji ameshapanda madhabahuni, bado wao wanaimba, Kuna muda sauti hata hazieleweki. FuatiliaMkuu kwan haitakiwi kusifu na kuabudu??