Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

Mchungaj Anna ndi tatizo pale kanisan kwetu tangu aje yy wafanyakazi wengi wanaondolewa pale Anna ni mfitini sana.
Bas usiwe unaenda njoo sinza kkkt Kama unamuona Anna ndio kichomi wa kimaro
,Kimaro alivyo na kujikweza kote huko uoni wee au ibadani unaimba Kisha nakuondoka tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mchungaj Anna ndi tatizo pale kanisan kwetu tangu aje yy wafanyakazi wengi wanaondolewa pale Anna ni mfitini sana.

Aisee!

Yatamshinda lakini soonest possible!

Anajaribu kupingangana na nguvu ya Mungu?!

Haya ngoja inyeshe tuone Penye kuvuka.
 
Kufuatia semina iliyokuwa imeanza katika usharika wa KKKT KIJITONYAMA ikiongozwa na Rev Dr. Eliona Kimaro imelazimika kusimama kufuatia barua aliyopewa ya likizo ya siku 60 na kupelekea kushindwa kuendelea na semina hiyo...
Hivi hawa KKT mbona migogoro yao haiishi? Kanisa linakuwa na migogoro utafikiri chama cha siasa?
 
Kwenye hili nahisi pastor kimaro ataenda kujitafakari
Mimi ni muumini wa KKKT hapo kijitonyama, shida iliyokuwepo kwa mchungaji kimaro ni kwamba alikua anaenda kinyume na utaratibu wa kanisa na kibaya zaidi alisha onywa zaidi ya mara 3 ila shida yake akiitwa akaonywa anakuja kanisani anaanza kuongea kwa waamini na kurusha vijembe kwa viongozi wake
Tarehe 8 ukiweza fatilia alichokifanya kwa pastor mwenzake ANNA maneno aliyoongea kumuhusu huyo mchungaji kuna jambo utaelewa
Kimaro ana kiburi cha umaarufu
Mchungaji hafati karenda ya kanisa, yeye anafanya mambo yake, aliitwa akaonywa ila akaja kanisani hadharani na kusema hawezi kupangiwa cha kufanya ila Mungu tu, sasa hapo kweli kuna utii,

Kimaro toka amekuja usharikani anazo nyimbo 6 tu anazo imba kutoka kitabu cha tumwabudu Mungu wetu, aliitwa akaambiwa hiki kitu ila akawa mkaidi, ni mchungaji anayependa yeye aongee zaidi, hapendi kuwapa wachungaji wengine nafasi ya kuhubiri, ikitokea mchungaji mwingine akaubiri basi na yeye baada ya mahubiri atasimama na kuanza kujazilishia kuonekana kwamba mwenzake hajafanya kama inavyo paswa. Ni kimaro na masai wa kimara ambao ukifatilia utaratibu wanao ufanyq kanisani siyo wa kkkt ila najua wachache sana wataelewa hili.
Kama mtaweza kumbuka pia aliondolewa kwenye vipindi vya upendo Tv kisa mambo yake hayo ya kufanya kinyume na utaratibu wa kanisa ikabidi wamuonye ila akakaidi, baada ya kuondolewa alikuja kanisani hadharani na kuanza kusimanga na kuongea mbovu na tokea hapo hajawahi kutangaza kitu chochote kinacho husu upendo kama magazeti,
Alitamba sana kwamba kwa jinsi alivyo barikiwa na Mungu hakuna mwanadamu wa kumshusha hapo alipo, na haya alikua anaongea kanisani mbele ya waamini na kujitapa kabisa

Kwa sisi waamini wachache ambao tulikua tunamuona kanisani na kutambua madhaifu yake tulijua hana mda mrefu atapigwa chini na kweli leo kaondoka
Wengi mnaongea hamjui kilicho nyuma ya huyu kimaro ila nakuhakikishia KKKT KIJITONYAMA haiwezi kutetereka kisa kimaro kuondolewa na alishasema akitolewa kujitonyama basi ataanzisha kanisa lake, ngoja nione atakachofanya baada ya hili.

Namuombea hekima na maarifa atambue kosa lake arudi kundini na awe mnyenyekevu kwa Mungu na Viongozi na Kanisa kwa ujumla.

ANAYEFATA NI MASAI WA KIMARA MWISHO.
Sijaona kosa la mch. Kimaro
Mimi kama mlutheri tunataka mchungaji wa aina yake. Wengi tumechoshwa na aina ya mahubiri ya kutafsiri Biblia kama hadithi, ibada nyingi zinapooza ndio maana watu wanakimbilia kwa mitume na pentekoste.

Lutheran kuna shida sehemu nyingi, mchungaji akionekana yuko karibu na anakubalika na waumini anahamishwa.
 
Mkuu kwan haitakiwi kusifu na kuabudu??
Hakunaga maandalizi Ndugu yangu, zile nyimbo Wala hazina hata upako. To be honest, Huwa sipendi maana mpiga vyombo na muimbaji wote ni tofauti, wakiwa na maandalizi ni sawa. Kuna muda mchungaji ameshapanda madhabahuni, bado wao wanaimba, Kuna muda sauti hata hazieleweki. Fuatilia
 
Itakuwa kuna mtu ameanza kuhisi Dr Kimaro anaweza kuwa kikwazo kwake manake kama ni Shule tayari anayo Kubwa pengine kumzidi.

Kuna Wakati Viongozi wa Kanisa wanatuhumiwa kutafutana hadi kwa njia za Kishirikina kisa Madaraka

Ni matumaini yetu huu Mgogoro utapita na Kanisa litaendelea kuwa Imara.
 
Kanisa la KKKT limemsimamisha kazi mchungaji Eliona Kimaro wa usharika wa Kijitonyama kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi, siyo mara ya kwanza wala ya pili mchungaji huyu kufanyiwa majaribio ya kuondolewa lakini ndiyo hivyo Mungu alikuwa upande wake.

Na hii ndiyo KKKT kila sehemu wanagombana na kupelekana hadi mahakamani.

Poleni washirika wote wa Kijitonyama.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom