Hii ndio akili ya mtu timamuNi kweli tumeona hata EFM yule mtangazaji amefukuzwa kazi kwa kutoa maoni yake tu dhidi ya hali ya nchi inavyokwenda.
Katiba inasema kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni na haija specify sehemu gani exactly mtu atoe hayo maoni. Ingeandika maoni yatolewe chooni kwako au chumbani kwako ingekuwa rahisi kumhukumu yule mtu.
Hio ndio hali ya Tanzania ilipofikia halafu tunakazi ya kulaumu kwanini watu wengi wamekuwa na tabia ya unafiki. Misingi ya maisha imejikita kwenye unafiki leo hii huwezi kusema ukweli wako wazi ila lazma uangalie huo ukweli unamwambia nani. This is not how its supposed to be.
Money is beautiful 🤣🤣❤️Duh!, that is not fair!. Mimi ni Mkatoliki wa St. Peters, ila kukitokea events hapo huwa nahudhuria mara moja moja, nilihudhuria siku ya Mavuno, huo mpunga uliovunwa...!, nilipotoka nje haya mandinga! ya waumini, nadhani kwa KKKT, baada ya usharika wa Azania Front kwa matajiri wa Upanga, na Msasani kwa matajiri wa Osyerbay na Masaki, unafuata Usharika wa Kijitonyama.
Kwenye makanisa yetu haya ya kimasikini, ukijitokeza tuu utajiri na matajiri, shetani naye anajipenyeza hapo hapo kwa wachungaji kondoo wa Bwana kuanza kujiinua kwa jeuri ya pesa!. Nakumbuka ule mgogoro wa Same!.
Mungu awabariki hili limalizike salama.
P
Kumbe wamemfukuza? Ndiyo maana nawasikia akina Musa, Chumvi na yule mdada... Aiseeee daaahNi kweli tumeona hata EFM yule mtangazaji amefukuzwa kazi kwa kutoa maoni yake tu dhidi ya hali ya nchi inavyokwenda.
Katiba inasema kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni na haija specify sehemu gani exactly mtu atoe hayo maoni. Ingeandika maoni yatolewe chooni kwako au chumbani kwako ingekuwa rahisi kumhukumu yule mtu.
Hio ndio hali ya Tanzania ilipofikia halafu tunakazi ya kulaumu kwanini watu wengi wamekuwa na tabia ya unafiki. Misingi ya maisha imejikita kwenye unafiki leo hii huwezi kusema ukweli wako wazi ila lazma uangalie huo ukweli unamwambia nani. This is not how its supposed to be.
Ndio mambo ya nchi yako hayo 🤣🤣🤣Kumbe wamemfukuza? Ndiyo maana nawasikia akina Musa, Chumvi na yule mdada... Aiseeee daaah
Fitina na unafki vimetamalakiHapo tatizo ni lile lile tu la ngozi nyeusi, wivu, majungu na fitina. Jamaa nyota yake imewaka na anakubalika sana na ukishakubalika na jamii hela lazma upate nyingi tu kupitia hao hao unaowahudumia. Sasa naona wamejaribu kumbana bana wamemshindwa wameona anafaidi sana bora wamuondoe kisiasa.
Yaani anajidai haswa,like za instagram na views za YouTube zinampa jeuri.Aanzishe kanisa lake kama yeye ni mwanaume kweli.Hili la majigambo hâta mie nliona kitambo tu, na lilikuwa linanishangaza sana!!
Kabisa mkuu hii tabia inaturudisha nyuma sana kimaendeleo,ilibidi elon musk atorokee U.S maana tabia za S.A iliminya upeo wake.Sio kanisani tu popote pale nchini, ukiwa na balls jiandae kuishi kama tai maana kila mahali watakuwa wanakuona mkorofi. Watanzania tumezoeshwa ukondoo toka nchi hii inaasisiwa.
1.Shuleni ufanyiwe uonevu ukae kimya, ukikaza unaonekana mtukutu. Utahamishwa tu.
2.Kazini ukiwa mshapu na mtoaji ideas utaitwa kiherehere tayari watu wanakuchukia. Huwezi toboa.
3. Uraiani ukitoa views zako kuhusu hali ya maisha nchini. Mchochezi. Hapo hapo una haki ya kutoa mawazo yako. Ila unaitwa mchochezi.
4.Kanisani kama hivyo, una kipaji cha neno na watu wanakupenda unasimamia ukweli. Unaambiwa unakiuka taratibu.
Hii ndio Tanzania, ukiwa na misimamo yako binafsi basi hakikisha hufungamani na taasisi yeyote.
Dah! afrika bado tunasafari ndefu kupanuka kifikra,kama mungu ameamua kukuinua hamna mbwa atakaye zuia wengi wamefanikiwa sana baada ya kujitenga na madhehebu tasa.Yaani anajidai haswa,like za instagram na views za YouTube zinampa jeuri.Aanzishe kanisa lake kama yeye ni mwanaume kweli.
Kumbuka hilo dhehebu tasa ndo limempa platform. Hata akajulikana.Dah! afrika bado tunasafari ndefu kupanuka kifikra,kama mungu ameamua kukuinua hamna mbwa atakaye zuia wengi wamefanikiwa sana baada ya kujitenga na madhehebu tasa.
Hapo ndo nilimuona Kilaza kweli kweli.Hivi UDr wake ni wakusomea au ndo ule wa kina.Dr Msukuma ?Kimaro hakuwa specific yeye ali generalize kitu ambacho mimi naona siyo kweli huwezi ukasema wakristo wote ni wezi,basi hata magereza nafikiri yangejaaa Christian tuu
Ni kipawa cha roho sio dhehebu,mbona wapo wengine wengi tu na hawajulikani.Kumbuka hilo dhehebu tasa ndo limempa platform. Hata akajulikana.
Basi why hakujulikana tangu mwanzoni ?Ni kipawa cha roho sio dhehebu,mbona wapo wengine wengi tu na hawajulikani.
KKKWaafrika mmelaaniwa unajisifu kwa ujinga na kukosoa kwa ujinga,huyo yehova unayemtolea ushahidi anavinasaba gani vya UAFRIKA hadi umshuhudie?
Mjinga na shetani ni anayeamini ktk mafundisho ya kupandikizwa na kuacha asili yao.
Waafrika wenye DINI za kuja wote wachomwe moto ni mashetani WEUSI
kuna muda wa roho mtakatifu kukuinua mfano mzuri ni mwakasege.Basi why hakujulikana tangu mwanzoni ?
Kuna watu wanaamini kuwa Kimaro ndio kwisha habari yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].kuna muda wa roho mtakatifu kukuinua mfano mzuri ni mwakasege.
Hata Kama litatokea hilo..... Kwani Kondoo Ni Mali ya Kristo au kondoo Ni Mali ya Nani hasa??Shida ni kwamba siku akiona maji shingoni na akaamua kung'atuka!!! Atasepa na kondoo wengi sana, tuombe yasitokee hayo, make hata mimi wa huku mbali namkubali haswa.
Tinasubiri aanzishe kapewa notice ya siku 60 ili ahame kwa hio ajiongeze, asijitie kichwa ngumu alichokisema kimetimia sasa tunataka tuone utekelezaji wake akihama na kuanzisha kanisa lake km alivyosemaalishasema akitolewa Kjitonyama basi ataanzisha kanisa lake
Kwanini Kondoo tu ndio mali Mbusi sio mali?Kwani Kondoo Ni Mali ya Kristo au kondoo Ni Mali ya Nani hasa??