Mukuu123
JF-Expert Member
- May 7, 2019
- 319
- 1,223
Speaking from experience mimi nilikua nasali kkkt ya tabata sasa nikaelekea Kwa mastai korogwe pale kwa kweli mafundisho yake yaliniongezea Imani na kumjua Mungu na kuanza kuiogopa dhambi tofauti Na nilivyokua tabata amenisaidia mnoo spiritual mpka muda huu naona uwepo wa Mungu kabisa vijana wenzangu nawaomba mfike pale korogwe naamin mtakuja kushuhudia Apa