johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #81
Wa Machame!Adam wa chato labda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa Machame!Adam wa chato labda
Ni kweli kabisaKula vizuri tu bwashee ndio kinga barakoa haizuii utapiamlo!
Tutajie mmoja aliyerip kwa Corona hapo Ufipa!Ni kweli kabisa
Wanaokufa sasa hivi ati covid, ni kiherehere chao tu!
Sema kwa mujibu wa Historia ya Tanzania maana hata Kenya watakwambia binadamu was kwanza aliishi hukoKutokana na recent scientific findings binadamu wa kwanza Ni kweli aliishi Tanzania.
Wewe humjui mchungaji Kimaro?Hii kali sasa. Kwani bustani ya Eden iko Tanzania?😳😳
Huyo mchungaji ni wa kanisa la "mungu" yupi?
Mchungaji wa KKKT Kijitonyama Dr Kimaro amesema kwa mujibu wa maandiko ya Biblia Mungu alishaitangazia uponyaji wa kwanza Afrika yanapotokea maradhi ya kiulimwengu kama Corona...
Nyie jamaa ni wabishi sana!Mwanadamu wa Kwanza alikua anaishi Ethiopia, sema wamasai Wakati wanahama kutoka Kaskazini kuja Kaskazini mwa TANZANIA wakalibeba na kuliacha Olduvai. Sema Louis nae alikua hatambai historia hii. Kwa hiyo, si kweli kua binadam wa kwanza aliishi Tanzania.
Hawezi na hata mchungaji ameongea tu kufurahisha gengeUnaweza kuandika vifungu vya Biblia kuhusu hilo kwa niaba yake?
Taratibu bwashee!Hawezi na hata mchungaji ameongea tu kufurahisha genge
Mwanzo kama ulitaka kuongea ukweli Ila badae umehamia kwenye uongo kwa faida yako mwenyewe eti Yesu alizimia pole sana YESU KRISTO alikufa na KUFUFUKA period! eti alizimia jinga kabisa ikiwa wako kafa nakuoza niww Ila wakwangu kafa na kufufuka oondoa huu Ujinga tujadili habari za kimaroUkweli ni huu:- Adam na baadaye Eva hawakuwa watu wa kwanza kuumbwa duniani bali Adam alikuwa ni mtu wa kwanza kupewa utume na Mungu kwa ajili ya watu aliokuwa akiishi nao huko Babylon Iraq ya kale (Kati ya mto Euphrate na Tigris)...
Sijui unaweza kutuambia ulikoyatoa haya yote ndugu wakala wa shetani.Ukweli ni huu:- Adam na baadaye Eva hawakuwa watu wa kwanza kuumbwa duniani bali Adam alikuwa ni mtu wa kwanza kupewa utume na Mungu kwa ajili ya watu aliokuwa akiishi nao huko Babylon Iraq ya kale (Kati ya mto Euphrate na Tigris)...
Nawajua kwetu CCM, mbunge NdassaTutajie mmoja aliyerip kwa Corona hapo Ufipa!
Mtoto wa mwenyekiti ilikuwaje hapo Ufipa?Nawajua kwetu CCM, mbunge Ndassa
Huyo n wakala!Sijui unaweza kutuambia ulikoyatoa haya yote ndugu wakala wa shetani.
Au ni ufahamu wako binafsi?
Lazima Mchugaji micro biologist. Amepiga bio kem siyo kawaida. CCM oyee.Kwa hiyo mchungaji alikuwa anafundisha Scientific findings badala biblia ?