Mchungaji Mastai: Rais Magufuli amefanana na Nelson Mandela, Mungu ameweka kitu ndani yake

Mandela hakuwahi kuchukiwa na watu wake kama huyu nduguye Nkurunziza.
 
Kama ni kipawa na uzalendo basi Lissu ndo Raisi wako!

Kama mtu anayewekewa ac njombe ameweza kuwa Raisi Kwa nini ashindwe mtu aliyeponywa na Mungu risasi zenu 16??
Labda raisi wa kakibanda kamtaa wa ufipa
 
Kipawa Cha utekaji , upotezaji watu , uuaji , ukiukaji was haki za binadamu na utawala Bora , wizi , uporaji .
 
KKKT wamezidi unafiki! Mimi ni KKKT na ni muumini mzuri lakini yale yanaendelea ndani ya Kabisa ni unafiki wa kiwango cha SGR
 
Wewe Mchungaji hujitambui wala kusoma nyakati hujui kwa kifupi huyo mtu wako Hana kibali cha wananchi hata Mbingu ya Tanzania haimtaki ni katili kaharibu maisha ya wengi Twendeni na Tundu Lissu kiongozi mpenda haki.
 
Alipoongea yule wa Efatha kuhusu Lissu kulindwa na Mungu tulliona kamati ile ya wanajiita viongozi wa kamati ya amani ya dini walikuja na tamko la kuzuia siasa makanisani. Ngoja tuone kama watakemea hii kauli.
 
Alipoongea yule wa efatha kuhusu lissu kulindwa na Mungu tulliona kamati ile ya wanajiita viongozi wa kamati ya amani ya dini walikuja na tamko la kuzuia siasa makanisani. Ngoja tuone kama watakemea hii kauli.
Kusema Rais Magufuli ana kibali cha Mungu siyo siasa bwashee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…