monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Noma sana;
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe tutaendelea kukufundisha tu.Utakuwa umelewa,
Kanisa ni mtu. Si jengo. Tangu sasa, kaa ukijua Kila usomapo neno Kanisa ujue ni mtu, mwenye kuvuta Pumzi ya Mungu Bure.
Naijua KAZI Yako na wenzio jukwaani ninyi Wana wa Ibilisi.We maskini choka mbaya uliyekosa kazi ya kufanya, Badala ya kufuatilia haki zako za msingi unakuja kufuatilia maisha ya mtu binafsi yasiyo kuhusu na wala hayana uhusiano wowote na jamii.
Damn Fool.
Ali itisha mkutano akaanza kuhubiria na kushawishi hadhira ya watu ifuate anacho kisema?yule ni public figure/proxmit anachofanya/kuongea kinaathiri hadhira yake. Kwa kuwa ana umaarufu ni sahihi jina lake kutajwa chanya au hasi
ibilisi ni wewe ambaye umeungana na huyo mchungaji uchwara kumtukana mtu mnaywmwita malaya bila kuwa na ushahidi wa aina yoyote ule ukionyesha yeye ni Malaya. Tutaendelea kukukemea wewe ni ibilisi mchafu na christina ataendelea na kazi yaMunguNaijua KAZI Yako na wenzio jukwaani ninyi Wana wa Ibilisi.
Huyo ibilisi hayupo.Naijua KAZI Yako na wenzio jukwaani ninyi Wana wa Ibilisi.
kwani anasingiziwa? Kapotoka lazima aambiwe ukweliAli itisha mkutano akaanza kuhubiria na kushawishi hadhira ya watu ifuate anacho kisema?
Au aliamua kuongea maisha yake binafsi na maamuzi yake binafsi.
soma mifano ipo mingi nimemtolea huko mwingine juu.Ulichokiandika, hakuna connection na alichokisema Allen.
wala hajapotoka na sioni tatizo lolote. Embu sema wewe kapotoka wapi?kwani anasingiziwa? Kapotoka lazima aambiwe ukweli
Ukweli ni nini?kwani anasingiziwa? Kapotoka lazima aambiwe ukweli
Duh ngoja nitafute kamusi....Utakuwa umelewa,
Kanisa ni mtu. Si jengo. Tangu sasa, kaa ukijua Kila usomapo neno Kanisa ujue ni mtu, mwenye kuvuta Pumzi ya Mungu Bure.
Nimemkataza mke wangu kusali makanisani, tunasali kwa kumuomba Mungu nyumbani na kuabudu mizimu yetu tu. Dini za watu zisizo asili yetu kwetu ni no nooooooo.Ni Wachache wa aina hiyo,
Na ndio tunaowakemea,
Ikiwa husali, mkeo akaanza kusali, Mshukuru Mungu, maana hukuombea na familia yote hubarikiwa.
Muhimu aendelee kukuheshimu, kukutii na kukushauri pia uanze kusali.
Ubarikiwe.
Hii picha Ina nini Cha ajabu mbona imetrend sana kila uzi lazima niikuteWEWEEEEEE NDOA NI MATESO BADALA YA BARAKA INAWEZA KUWA LAANA.
HUWEZI JUA KAKUMBANA NA NINI MKUU HAWEZI ANIKA YOTE HADHARANI.
View attachment 2969864
Asili ya Mizimu ni kuzimu,Nimemkataza mke wangu kusali makanisani, tunasali kwa kumuomba Mungu nyumbani na kuabudu mizimu yetu tu. Dini za watu zisizo asili yetu kwetu ni no nooooooo.
Jalada limefika mezani kwangu. Naunga mkono apewe usajili mapema sanaTunamkaribisha Christina Shusho kwenye timu kubwa ya KATAA NDOA jopo la wadau waone kwenye jalada
Mzee wa kupambania
shusho kibiblia yupo sawa kabisa na ni jambo sahihi alilofanya.
Siwezi kuhukumu Kwann kaachana na mumewe wakati naona katika jamii wanaume wanapiga wake zao mpaka wanawachinja. Vile vile wanawake wanawapa mateso waume zao mpaka wanakufa na pressure. Hapa sihukumu sababu Sijui Nani mkosaji.
ILA kwa kwenda kumtumikia mungu yupo sahihi kabsa
[/QUOTE.acheni kutetea upotokaji, angeieleza jamii kinagaubaga kuwa ndoa yake imekuwa hatari kwake hivyo ameikimbia.
misingi ya imaniUkweli ni nini?
Kapotoka kwa misingi ipi?