Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Hahhaaaaa mnataka asimame ili akane mshiko aliopewa na kiyembi? Au mnataka afukuzwe chama aambiwe kaliliwa na CCM?
🤣🤣🤣yembi🤣🤣🤣!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahhaaaaa mnataka asimame ili akane mshiko aliopewa na kiyembi? Au mnataka afukuzwe chama aambiwe kaliliwa na CCM?
Ugoro mtupuMchango wa mh Rais umesaidia sana,
Chadema iliomba msaada wa michango Kwa wananchi wote Na Rais JPM kaitikia ombi lkn pia familia ya mchungaji msigwa imeomba msaada kutoka Kwa Rais Na Rais kakubali ombi, tatizo linatoka wapi?
Hongera sana Kwa Rais
Dah Tanzania ya sasa imekuwa na viongozi wa kipumbavu sana yaan sio ccm wala chadema yaan viongozi wote wana Parsons interest yaan hakuna mzalendo wa nani yaan wote niwapumbavu sana nachukia sana yaan nakasilishwa sana sana yaan aisee mpaka nashindwa kueleza
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ikishalipiwa hiyo control number huwezi kuitumia tena. 🤣🤣😀😀😀😀😀Kuna mtu kutuma slip chadema waliyolopia hapa jukwaani. View attachment 1386089
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kulikua na haja gani ya kuchonga payslip ya black and whiteHii habari imeishachuja! Rais ALIOMBWA NA NDUGU WA MSIGWA awasaidie mchango wa kumlipia ndugu yao kutoka jera! Rais alikuwa anatekeleza ombi la hao wazee hivyo mambo ya alikuwa kaishalipiwa hama la!! hayamuhusu Rais!
Wewe ni zoba la CCM au!!!?Sio tatizo kikubwa kalipiwa faini Na mh. Rais Na katoka.
Mchango wa Rais umesaidia sana kutoka kwa msigwa leo Na kujumuika Na familia yake.
Hapana, zirudishwe kwa mwenyewe. Watatamba sana kwa kuendeleza propaganda kuwa bila fedha za Rais wapinzani wasingetoka Segerea. Chadema rudisheni hizo fedha za kishetani.PENDEKEZO LANGU;
Hiyo fedha isirudi kwa Magufuli. Kama amechangia kama sisi tulivyowachangia hawa ndugu zetu, basi ziingie na kujumuishwa na michango ya watu wengine ikamilishe kuwalipia wengine....!!
Magufuli chini ya TISS ndiye waliopanga mkakati huu ili hawa watu wafungwe gerezani. Plan yao imefeli unless DPP labda akate rufaa tena na wakaandike hukumu kali zaidi ya hii...
Kama walipanga, hizi hela toka kwa wahalifu hawa, ni halali ya CHADEMA kabisa, msizikatae...!!!
Hahaha sinema limebuma vibaya. Asante Msigwa kwa kuwaabisha mashetani mchana kweupe.
Ccm wanasema Ni utapeli kuchangia wafungwa...Hongera mh Rais JPM Kwa kumlipia faini msigwa
Sio msigwa, labda yule msemajiNgoja tumsubiri kesho tuone msigwa ataongea nini?nahisi kuna dalili ya kusalitiwa hapa,Ila najiandaa kisaikolojia!
Msigwa Kama anataka kuhamia CCM aende tu!
Ila atkuwa amefanya usaliti kwa wananchi tuliochanga pesa!
Akisaliti tu ajiandae kumuona NYERERE juu ya MPAPAI!
Sent using Jamii Forums mobile app