Mchungaji Msigwa agoma kupanda gari za CCM, alakiwa na wana-CHADEMA

Mchungaji Msigwa agoma kupanda gari za CCM, alakiwa na wana-CHADEMA

Utasubiri sana [emoji23]

Jr[emoji769]
He he! Usiusemee moyo wa mtu mwengine ndugu binadamu hatueleweki shauri yako.. kwani hata wewe kwenye maisha yako umejirudi mara ngapi..?

Usitupe jikombe la leo maana huijui kesho yako.
 
We vipi?? Nan kafungua uzi? Mie nimeona you tube nikapita km sioni..kwani kuwa kilaza ndo nakufa! Nitokee mie hapa[emoji57][emoji57][emoji57]
Wapi nimesema Wewe umefungua uzi ?
.
.
Nimesema napenda kuona TAIFA, mpaka hapo nazungumza General kwa Wote kwani Wewe ndio Taifa ?
.
.Channel Hizo uchwara huwaga wanaandika habari Sizo kupata Subscribers
Hapana Haufi, Sitoki [emoji41][emoji41]
 
Leo mnamsifia Much. Msigwa. Siku akiunga juhudi za Rais na CCM mtajifanya eti tuliishajua! Huo ni ujuha na uhayawani!
 
Yaani waandishi wa havmbari wa Tz sijui mna karirishwa au?? Kama Chadema ili lipa control namba hiyo huwezi kuitumia twna. Automatically huwa ina kufa. Acheni kutufanya. Mazuzu waulizeni Ccm wametumia control namba za kulipia toka wapi? Na release order nani kapewa??
Je kwa kumlipia Msigwa kama ni kweli wamekiri hukumu na mashtaka yalikuwa ya kugushi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG-20200312-WA0145.jpg
    IMG-20200312-WA0145.jpg
    82.8 KB · Views: 1
Wapi nimesema Wewe umefungua uzi ?
.
.
Nimesema napenda kuona TAIFA, mpaka hapo nazungumza General kwa Wote kwani Wewe ndio Taifa ?
.
.Channel Hizo uchwara huwaga wanaandika habari Sizo kupata Subscribers
Hapana Haufi, Sitoki [emoji41][emoji41]


Mie za millard naziamini..km huamini ni shida zako mkuu!
 
Back
Top Bottom