Mchungaji Msigwa agoma kupanda gari za CCM, alakiwa na wana-CHADEMA

Mchungaji Msigwa agoma kupanda gari za CCM, alakiwa na wana-CHADEMA

Mchango wa mh Rais umesaidia sana,
Chadema iliomba msaada wa michango Kwa wananchi wote Na Rais JPM kaitikia ombi lkn pia familia ya mchungaji msigwa imeomba msaada kutoka Kwa Rais Na Rais kakubali ombi, tatizo linatoka wapi?
Hongera sana Kwa Rais
Naona unajishika mwenyewe matako yako kisha unajiweka mikono yako puani kuangalia kama inanuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msigwa nae ana deko sana [emoji28]
Anaringa sbb anajua Mh. Rais ni ndugu yake, basi anafanya atakalo deko tupu. Mh. Rais wetu ana roho nzuri sana ya kibinadamu, ingekuwa mm hiiiiiiiii silipi wala simletei gari tena namuacha jela akae kae nikiona hakuna wa kumtoa ndio natoa mchango..[emoji28][emoji28]
Endelea kujitekenya kisha kucheka mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Msigwa akiongea hovyo, tunamrudisha mahakamani, achunge ulimi wake, si anaringa tumejaribu kumsaidia hataki, sasa akienda mahakamani tena hakuna msaada tena hata akiita Magufuliiiiiii njooooooo baba njooooo Mh. Rais njoooooooo hakuna tena kumsaidia.. Shauri yake [emoji28][emoji28][emoji28]
Wewe mwanamke ni bora tu ukae kimya aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie nachojiuliza hadi sasa imekuwaje hadi Control Number moja ya mahakama kupokea pesa Mara mbili? Maana ukiangalia ulipaji huo si wa jumla ni kila mtu na malipo yake na pesa ina kikomo yaani 40M

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji617][emoji617][emoji617][emoji808][emoji808][emoji808][emoji808]
Habari,

Hii ni baada ya Polepole na team yake ya Lumumba kujaribu kutafuta Kiki ya kisiasa kupitia hukumu ya viongozi wa Chadema.

Naona walizidiwa akili, documents za ushahidi wa malipo Chadema wamezitoa lakini ccm hawajazitoa.

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom