Mchungaji Msigwa agoma kupanda gari za CCM, alakiwa na wana-CHADEMA

Mchungaji Msigwa agoma kupanda gari za CCM, alakiwa na wana-CHADEMA

Sasa ikifika oktoba itakuaje Kama leo watu wamechanganyikiwa kiasi hiki[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kakataa kupanda ipo siku atapanda kwa hiari.
 
Mh. Rais na Msigwa ni ndugu na pia ndugu wa Msigwa waliomba mchango kwa mh. Rais baada ya kujichanga na kupata 2 mil, ikabakia mil 38, Mh. Rais akatoa kwa huruma kama ndugu yake baada ya kuombwa. Sasa hapo kuna ubaya gani? Sema Msigwa ana deko sana ila atapata shida siku moja na atakosa msaada kabisa, shauri yake
Kosa kubwa kafanya rais. Ukishakuwa mtu mkubwa, kiongozi wa nchi hupaswi hata kidogo kuonyesha upendeleo kwa familia yako na ndugu zako. Nyetere alikemea sana hili. Rais ni baba wa watanzania wote na teye ndite custodian wa hazina yote ya nchi. Sasa akianza kufanya vitendo kama hivi inatilia madhaka uadilifu wake. Kwa nafadi yake alipaswa haya kama ni kusaidia afanye kimya kimya isijulikane. Lakino yeye kaona kutangaxa ni sifa kumbe inamharibia. Ni watanzania wangapi wapo magereza wakiwa wameshindwa kulopa faini? Kwa hiyo wao wataozea magereza kwa sababu hawana undugu na rais? Hii ilikuwa move ya hovyo sana.
By the way, mbona michango ilokuwa inaenda vizuri tu huko chadema na hakina mahali walitangaza wameshindwa kipata pesa ya kutosha kuwatoa. Hiki kihetehere cha nini? Kwa kweli washaurivwa rais wamemuaibisha!
 
Kumbe haupo hii dunia..sifatilii tena siasa ila you tube ipo! Kamuone msigwa anaongea na ndg wa mh!nimeiona huko sijachek..ndg wamechanga 2m !jamaa akamalizia 38

Mkuu nakuomba ulitendee haki jina la Prof. Wangari Maathai...
Bila uthibitisho hizo zote zinaweza kuwa drama tu kusaka cheap popularities ...
Huoni kuwa Chadema wameleta hadi pay slips??
 
Mh. Rais na Msigwa ni ndugu na pia ndugu wa Msigwa waliomba mchango kwa mh. Rais baada ya kujichanga na kupata 2 mil, ikabakia mil 38, Mh. Rais akatoa kwa huruma kama ndugu yake baada ya kuombwa. Sasa hapo kuna ubaya gani? Sema Msigwa ana deko sana ila atapata shida siku moja na atakosa msaada kabisa, shauri yake
Acha upumbavu utaunguza mboga wewe housegirl.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari,

Hii ni baada ya Polepole na team yake ya Lumumba kujaribu kutafuta Kiki ya kisiasa kupitia hukumu ya viongozi wa Chadema.

Naona walizidiwa akili, documents za ushahidi wa malipo Chadema wamezitoa lakini ccm hawajazitoa.
Huyu kiumbe
1584029100660.png
ni hatari sana. Harusi haikuwa yake, sasa anataka aondoke na mwali?
Wakome kabisa
 
Habari,

Hii ni baada ya Polepole na team yake ya Lumumba kujaribu kutafuta Kiki ya kisiasa kupitia hukumu ya viongozi wa Chadema.

Naona walizidiwa akili, documents za ushahidi wa malipo Chadema wamezitoa lakini ccm hawajazitoa.
Ha ha haaa
Eti awaachia vumbi, vumbi na tope lote hilo baada ya mvua kunyesha.
 
Back
Top Bottom