Mchungaji Msigwa agoma kupanda gari za CCM, alakiwa na wana-CHADEMA

Mchungaji Msigwa agoma kupanda gari za CCM, alakiwa na wana-CHADEMA

Najiuliza ukiangalia risiti Chadema walilipa mapema sasa toka lini Control Number moja ikafanya malipo Mara mbili?
 
Eti usitufuate fuate kwenye Mambo yetu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
*Anaandika Askofu Benson Bagonza*

Unawezaje kusema tuna judicial independence wakati:

Jana wapinzani walienda kutoa watu wao, Bwana jela akasema yuko kikaoni, wadhaminiwa wakalala. Lakini Polepole alienda bila risiti akapewa mfungwa wake.

Leo wapinzani wamezuiwa kuingia kumpokea Msigwa, lakini Polepole ameruhusiwa kuingia na gari.

Jr[emoji769]
 
Ila naona hata undugu utapungua sana sasa, Msigwa akipata tu shida kuanzia sasa Mh. Rais hawezi kabisa msaidia kwa hili lililotokea, na hata ingefaa Msigwa angetoa neno la shukrani kwa Mh. Rais, sasa hizo hela zikirudishwa kwa Mh. Rais navyojua hatakubali tena kutoa msaada hata huko kwao nyumbani, sbb atasema niliingiwa na huruma nikatoa msaada baada ya ndugu zenu kunijia, ila nikapata fedheha. Yaani Msigwa shauri yake
Kwani kila siku wanaishi kwa msaada wa Rais?
 
Mkuu nakuomba ulitendee haki jina la Prof. Wangari Maathai...
Bila uthibitisho hizo zote zinaweza kuwa drama tu kusaka cheap popularities ...
Huoni kuwa Chadema wameleta hadi pay slips??


Huamini? Nenda millard Ayo mkuu!
 
Habari,

Hii ni baada ya Polepole na team yake ya Lumumba kujaribu kutafuta Kiki ya kisiasa kupitia hukumu ya viongozi wa Chadema.

Naona walizidiwa akili, documents za ushahidi wa malipo Chadema wamezitoa lakini ccm hawajazitoa.
Hivi Polepole ni Afisa Magereza? Mbona yuko busy sana huko Segerea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari,

Hii ni baada ya Polepole na team yake ya Lumumba kujaribu kutafuta Kiki ya kisiasa kupitia hukumu ya viongozi wa Chadema.

Naona walizidiwa akili, documents za ushahidi wa malipo Chadema wamezitoa lakini ccm hawajazitoa.
Yaani waandishi wa havmbari wa Tz sijui mna karirishwa au?? Kama Chadema ili lipa control namba hiyo huwezi kuitumia twna. Automatically huwa ina kufa. Acheni kutufanya. Mazuzu waulizeni Ccm wametumia control namba za kulipia toka wapi? Na release order nani kapewa??
Je kwa kumlipia Msigwa kama ni kweli wamekiri hukumu na mashtaka yalikuwa ya kugushi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom