Mchungaji Msigwa agoma kupanda gari za CCM, alakiwa na wana-CHADEMA

Siku hizi serikali malipo ni kwa control number. Namba ikishalipiwa huwa inakufa huwezi lipia tena. Hivyo ukishalipa kutumia namba Ile Ile kulipia tena inakataa. Sasa tunaomba tujue ni lipi sahihi? Hongera sana Mh. Rais kulipia mil 38 ndugu yako Msigwa. Hawa ni ndugu na kuna msiba ulitokea walishiriki wote kama ndugu kama mtakumbuka. Hivyo uchama umewekwa pembeni na ndugu umetumika. Ni vizuri ndugu kupendana na kusaidiana wakati wa shida.
 
Mchango wa mh Rais umesaidia sana,
Chadema iliomba msaada wa michango Kwa wananchi wote Na Rais JPM kaitikia ombi lkn pia familia ya mchungaji msigwa imeomba msaada kutoka Kwa Rais Na Rais kakubali ombi, tatizo linatoka wapi?
Hongera sana Kwa Rais
Ugoro mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina maana Polepole amekwenda tu gerezani akiwa na "amri ya Rais" kumtoa Msigwa....

Hii ya "Rais Magufuli kamlipia 38M" ni porojo tu na propaganda za kijinga za kisiasa wakidhani watanzania ni wajinga kama wao....

Malipo gani hayo yasiyo na uthibitisho wa risiti za benki???
 
Oh man. Look like you are a little late to the party. the truth is kila politician ni person of interest..
Politician are only professional liars that are approved by the goverment
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama angepanda hayo magari ya washamba wa awamu ya 5 angefanya nivunjike moyo na kuujutia mchango wangu niliotuma kupitia M-pesa A/C ya Ezekiel Wenje. Viva Msigwa ✌!
 
PENDEKEZO LANGU;

Hiyo fedha isirudi kwa Magufuli. Kama amechangia kama sisi tulivyowachangia hawa ndugu zetu, basi ziingie na kujumuishwa na michango ya watu wengine ikamilishe kuwalipia wengine....!!

Magufuli chini ya TISS ndiye waliopanga mkakati huu ili hawa watu wafungwe gerezani. Plan yao imefeli unless DPP labda akate rufaa tena na wakaandike hukumu kali zaidi ya hii...

Kama walipanga, hizi hela toka kwa wahalifu hawa, ni halali ya CHADEMA kabisa, msizikatae...!!!
 
Hii habari imeishachuja! Rais ALIOMBWA NA NDUGU WA MSIGWA awasaidie mchango wa kumlipia ndugu yao kutoka jera! Rais alikuwa anatekeleza ombi la hao wazee hivyo mambo ya alikuwa kaishalipiwa hama la!! hayamuhusu Rais!
Sasa kulikua na haja gani ya kuchonga payslip ya black and white
 
Hapana, zirudishwe kwa mwenyewe. Watatamba sana kwa kuendeleza propaganda kuwa bila fedha za Rais wapinzani wasingetoka Segerea. Chadema rudisheni hizo fedha za kishetani.
 
Ngoja tumsubiri kesho tuone msigwa ataongea nini?nahisi kuna dalili ya kusalitiwa hapa,Ila najiandaa kisaikolojia!
Msigwa Kama anataka kuhamia CCM aende tu!
Ila atkuwa amefanya usaliti kwa wananchi tuliochanga pesa!
Akisaliti tu ajiandae kumuona NYERERE juu ya MPAPAI!
Hahaha sinema limebuma vibaya. Asante Msigwa kwa kuwaabisha mashetani mchana kweupe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio msigwa, labda yule msemaji
 
Mambo ya aibu. Halafu magari ya serikali ni mali ya umma, huu ni mfano wa wazi wa ufujaji na ubadhirifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…