si sheria za chama zina mruhusu kukata rufaa. Tunaimba sana kuhusu demokaria, ila mchakato wake ukianza kelele lazima ziwe nyingiKabla kusikiliza hiyo rufaa kamati ya nidhamu ya Chadema imuite na imhoji mchungaji Msigwa Kwa Nini aliita vyombo vya habari kusema atakata rufaa?
Chadema Wana Nafasi 4 tu za UteuziSidhani kama Chadema inaweza kuwaacha domant watu kama Msigwa watapewa post za teuzi, ninachokiona kuna watu wanaamini wao ndio wanastahili.
Itapendeza pia mtu kama Sugu aambiwe afanye kazi za chama alizoomba swala la ubunge wagombee watu wengine yeye asimamie mchakato wa kupata wagombea ubunge.
Hatutaki Hustler wa kushinda vijiweni na masela. Tunataka mbunge anayeweza kuleta maendeleo.Wewe Una chuki Sana na Sugu MTU ambaye ni icon hustler , na business icon ndo unamchukulia for granted
😂😂😂😂🔥Ule ulikuwa ni uchafuzi na siyo uchaguzi
Sugu hatakiwi kutogombea ubunge kwa sababu ya chuki zako kwake, bali hapaswi kugombea ubunge maana yeye ndio kiongozi wa kanda na anapaswa kuhakikisha chama kinafanya vizuri kanda hiyo.Hatutaki Hustler wa kushinda vijiweni na masela. Tunataka mbunge anayeweza kuleta maendeleo.
Leteni hata yule Mwakajoka basi
Shetani hajawahi kumlaani yeyoteLaana ya Magufuli inawatafuna
Kwa sasa Mchungaji Msigwa atapata ugumu kugombea ubunge Iringa kwa sababu ya Vita baridi Kati yake na Mwenyekiti wa Mkoa Bilionea MungaiSugu hatakiwi kutogombea ubunge kwa sababu ya chuki zako kwake, bali hapaswi kugombea ubunge maana yeye ndio kiongozi wa kanda na anapaswa kuhakikisha chama kinafanya vizuri kanda hiyo.
Hatutaki watu wenye kuhodhi madaraka watu wenye uwezo wa kibunge wapo yeye akae pembeni na Msigwa asubiri kutupa karata yake kwenye ubunge.
Anajiondoa, sababu ndio hii kishapata.Namuona Mchungaji Msigwa nje ya CHADEMA. Hizo rufaa ni mwanzo wa safari yake kutoka CHADEMA. Kote atasema hajatendewa haki. Usiku ule na hotuba ile aliyoitoa, alisifiwa kwa political maturity aliyoionyesha. Nini tena kimempata? Anatafuta sababu na cha kusema akijiondoa CHADEMA..
Katiba ya Chadema inatakiwa kuzingatiwa kama hamjui kuendesha chama mkodi watu kutoka CCM wawasaidie uchaguzi ndani ya Chadema ni suala la kikatiba kukata rufaa sio kitu Cha kwenda kwenye vyombo vya habariUhuru wa kuongea kwa Chadema ni jambo la kwanza, hakuna anayezuiliwa kuongea atakacho na hasa kwenye masuala ya Haki na Demokrasia
Mungai usimsingizie hayo mambo yako, kwenye Kanda Mungai alipiga kura moja tu ambayo ni yake.Kwa sasa Mchungaji Msigwa atapata ugumu kugombea ubunge Iringa kwa sababu ya Vita baridi Kati yake na Mwenyekiti wa Mkoa Bilionea Mungai
Ni Mungai Ndiye kasababisha Sugu ashinde Kanda
Weka ushahidiSugu kaja na hela za Abdul, wamekula kichwa cha Msigwa.
AiseeeeeMsigwa bora ushawahi hata kuwa mbunge mm mwenzio nina first class ya udsm sina maisha nimeishia tu kuwa mdudu huku Arusha...
Ngoja chame chenu kife ndo utapata ushahidiWeka ushahidi
Vitu vingine haviingii akilini kwenye uchaguzi Kuna kushinda na kushindwa mchungaji msigwa Hana budi kupumzika
Akiongea na Waandishi wa Habari leo, Peter Msigwa amesema kwamba Ushindi wa Sugu ulijaa makando kando na Mchezo Mchafu (Hakufafanua)
Ametangaza kukata rufaa kwenye Kamati Kuu ya Chama chake kupinga ushindi huo wa Sugu, bado haijajulikana kama Kamati Kuu ikiridhishwa na Madai yake nini kitatokea, Sugu atanyang'anywa Ushindi na kupewa Msigwa au Uchaguzi utarudiwa
Binafsi nampongeza Mchungaji huyu kwa uamuzi wake huu, maana hii ndio njia Sahihi iliyowekwa na Chama chake ya kudai haki.
Pia soma
Sisi ndio tuko Iringa tunajua mchezo Wote simbilisi wewe 😂Mungai usimsingizie hayo mambo yako, kwenye Kanda Mungai alipiga kura moja tu ambayo ni yake.