Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wahuni ni wale wanaokwapuwa masanduku ya kura na kutokomea nayo na kulazimisha kushinda bila kupingwa.Tangia lini wahuni wakawa na busara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahuni ni wale wanaokwapuwa masanduku ya kura na kutokomea nayo na kulazimisha kushinda bila kupingwa.Tangia lini wahuni wakawa na busara.
😂😂😂 Mrema na mbegeMbowe ndio mchawi wa hiki chama. hatuna chama cha upinzani nchini, hata Tundu Lisu atakuwa anapata shida sana, anashindwa tu afanyeje, ila angekuwa na mbadala, hakika angeshakikimbia chama hiki zamani sana, kwasababu kina rafu, umwinyi, kupokea asali na udanganyifu mwingi. kama msigwa alilalamika kabisa kwamba Mrema kule mbeya alionekana ananyweshwa pombe na sugu, na lawama kibao, what do you expect.
Rafu kwenye uchaguzi ni lazima, dawa na wewe unajiandaa kwa lolote unapoingia kwenye chaguzi.Kama ayoyasema Mchungaji Msigwa yatabainika kuwa ni ya kweli basi tunahitaji uwajibikaji mkubwa.
Kwa sababu Chadema kumejaa fitina na Uhuni mkubwa 😄😄Sijui kwanini wale watu wamechanganyikiwa!
Rafu kwenye uchaguzi ni lazima, dawa na wewe unajiandaa kwa lolote unapoingia kwenye chaguzi.
Yani unataka kutuaminisha Msigwa ameingia mikono mitupu kwenye uchaguzi hakutumia hata mia?
Tetesi zinasema Msigwa amefadhiliwa na Assas wa ccm, hapo watakuwa wamezidiana dau tu.
Awali ASAS alitaka kumfadhili mchungaji Msigwa lakini akazuiwa kwa maelekezo kutoka juuRafu kwenye uchaguzi ni lazima, dawa na wewe unajiandaa kwa lolote unapoingia kwenye chaguzi.
Yani unataka kutuaminisha Msigwa ameingia mikono mitupu kwenye uchaguzi hakutumia hata mia?
Tetesi zinasema Msigwa amefadhiliwa na Assas wa ccm, hapo watakuwa wamezidiana dau tu.
Kama asemayo mchungaji yana ukweli; hata chembe ndogo tu ya ukweli, basi huyo virusi ndani ya chama atakuwa ni hatari sana kwa uhai wa chama chenyewe. Huyo kirusi siyo wa kuchezewachezewa na kujifanya chama hakimuoni.Binafsi nampongeza Mchungaji huyu kwa uamuzi wake huu, maana hii ndio njia Sahihi iliyowekwa na Chama chake ya kudai haki.
Unapo shindwa kwenye free & fair election then unang'ang'ana kukata rufaa inaonyesha ofisin ulikua na maslahi binafsi na sio ya wananchi na chadema..Ni haki yake katiba ya Chadema inaruhusu.
Hata Tulia hatoboi. Tunataka sura mpya vyama vyoteKwani hata 2020 Tulia alishinda? Muogope Mungu mkuu, sema ukweli hata kama humpendi Sugu
Sasa kwa nini wachezewe akili namna hiyo kama wao ni watoto wachanga.Awali ASAS alitaka kumfadhili mchungaji Msigwa lakini akazuiwa kwa maelekezo kutoka juu
Ni yeye anasema hivi, au wewe?Unapo shindwa kwenye free & fair election
Iringa hakuna kumbi bwashee..Kukata Rufaa ndio unaitisha Press nyumbani kwako?
Huyo ameshaaga 🐼
Akiongea na Waandishi wa Habari leo, Peter Msigwa amesema kwamba Ushindi wa Sugu ulijaa makando kando na Mchezo Mchafu (Hakufafanua)
Ametangaza kukata rufaa kwenye Kamati Kuu ya Chama chake kupinga ushindi huo wa Sugu, bado haijajulikana kama Kamati Kuu ikiridhishwa na Madai yake nini kitatokea, Sugu atanyang'anywa Ushindi na kupewa Msigwa au Uchaguzi utarudiwa
Binafsi nampongeza Mchungaji huyu kwa uamuzi wake huu, maana hii ndio njia Sahihi iliyowekwa na Chama chake ya kudai haki.
Pia soma
Kura alihesabu nani? hakuwa na wakala? Au hakwenda mwenyewe kusimamia kura zake kwenye majumlisho?Lilikuwa ni suala la mda tu sasa tunaiona sura halisi ya CHADEMA
View attachment 3007465