Kwa hivyo akizunguka nchi nzima ndio atasababisha Ajira kwa vijana?. Mjinga Sana. Akae kimya alambe asali.Kada wa CCM mchungaji Msigwa amesema atazunguka nchi nzima kuelezea uwongo na ulaghai wa Chadema
Msigwa ameomba awezeshwe Ili aungane na Wanaccm wenzake kuisambalatisha Chadema...
"Kuna Shida". Hizi siyo sarakasi za kawaida hata kidogo.Chadema itazunguka nchi nzma kueleza usaliti wa msigwa, shida iko wapi? Abdul alimlambisha hela ,.....itawekwa wazi soon
Mwambie binafsi si mwanachama wa chama chochote lakini nitamkabili kwa maswali popote nitakapomuona!Nitamuulixa kwanini hakutueleza huo uongo kabla ya uchaguzi aliotemwa?Kada wa CCM mchungaji Msigwa amesema atazunguka nchi nzima kuelezea uwongo na ulaghai wa Chadema
Msigwa ameomba awezeshwe Ili aungane na Wanaccm wenzake kuisambalatisha Chadem...
Hivi, Uchungaji wake ni wa nini,,? Haoni hata haya. Ndo maana siku hizi watu wengi wameacha kwenda makanisani!Uongo wake au wa CHADEMA?
Huyu jamaa mtu akikusanya clips zote alizosema kuhusu CCM wakati akiwa CHADEMA unaweza kufikiri ni watu wawili tofauti. Aliwahi kusema siku akienda CCM,...
Ndio maana CCM ikaitwa chama cha mambuzi, maana hawana akili hata kidogo.Mtu na akili zake timamu anaanzaje kuwa mwanachama wa chadema! Tuwe serious aise
Mkuu 'Econo' nadhani kuna mchezo mchafu sana hapa tunaochezewa akili toka kwa pande zote mbili, toka CHADEMA ya Mbowe; na hii CCM ya 'Chura Kiziwi'.Kwa hivyo akizunguka nchi nzima ndio atasababisha Ajira kwa vijana?. Mjinga Sana. Akae kimya alambe asali.
Kuacha kwenda kanisani au msikitini kwa sababu ya mcungaji au shekh haitofautiani na kuikana Tanzania kwa vile 'Chura Kiziwi' ni kiongozi wake!Ndio maana CCM ikaitwa chama cha mambuzi, maana hawana akili hata kidogo.
Umeongea ukweli. Mbowe simwamini kabisa siku hizi. Namuona Kama nduminakuwili.Mkuu 'Econo' nadhani kuna mchezo mchafu sana hapa tunaochezewa akili toka kwa pande zote mbili, toka CHADEMA ya Mbowe; na hii CCM ya 'Chura Kiziwi'...
amechiz hahahaKada wa CCM mchungaji Msigwa amesema atazunguka nchi nzima kuelezea uwongo na ulaghai wa Chadema
Msigwa ameomba awezeshwe Ili aungane na Wanaccm wenzake kuisambalatisha Chadem...
Mbowe hana sababu yoyote ile ya kuiangusha serikali ya CCM ambayo anaiongoza Samia; hakuna.Umeongea ukweli. Mbowe simwamini kabisa siku hizi. Namuona Kama nduminakuwili.
Mbowe hana sababu yoyote ile ya kuiangusha serikali ya CCM ambayo anaiongoza Samia; hakuna.
Anaye bisha juu ya hili anitajie sababu hizo muhimu, (visiwe visababu vya uongo na kweli).
Lazima ujifunze siasa kupitia kwa wanasiasa wazoefu kama vile Ngoyayi na Sumaye. Huwezi kunyea kambi! Ashakhum si matusi.Kada wa CCM mchungaji Msigwa amesema atazunguka nchi nzima kuelezea uwongo na ulaghai wa Chadema
Msigwa ameomba awezeshwe Ili aungane na Wanaccm wenzake kuisambalatisha Chadem...
Ndio maana CCM ikaitwa chama cha mambuzi, maana hawana akili hata kidogo.
Hii ndio Taarifa ya kada mpya wa CCM komredi mchungaji Msigwa
Kwamba baada ya Kupokea mialiko lukuki ya Vyombo vya habari sasa atamwaga mboga tarehe 10/06/2024 mwembetogwa Iringa mjini
Makamanda Wote mnakaribishwa
Msigwa ametoa Taarifa ukurasani X
Mlale Unono πππ₯