johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #81
Hata bungeni alikuwa anaandikiwa na Nyalandu mambo mengi ππ..Msigwa amekuwa kama mateka wa Amos Makala.
..anaandikiwa nini cha kuongea, na akikosea anapenyezewa notes/ vikaratasi.
Jibu ni HAPANA, sijaiona hiyo 'press conference' ya Msigwa, na ni muhimu kuwa sina nia kabisa ya vitu vya aina hiyo tena toka huyo jamaa ajiondoe akili kichwani...sijui kama umeona press conference ya msigwa.
..kilichofanyika ni udhalilishaji na aibu kubwa kwa msigwa na watanzania.
..mwenezi wa ccm alikuwa na makaratasi aliyokuwa akimpa msigwa ayasome.
..wakati mwingine alikuwa akiongeza notes na kumkatisha msigwa na kumpa aongee kwa waandishi.
..hawa watu hawana aibu. ni watu wa hovyo, wa ajabu.
Hata bungeni alikuwa anaandikiwa na Nyalandu mambo mengi ππ
Makala ni Mwenezi hivyo alikuwa Sahihi kuhakikisha nidhamu ya Chama inazingatiwa..afadhali Nyalandu alifanya kwa kificho.
..Makala amefanya bila kificho, mbele ya cameras.
Jibu ni HAPANA, sijaiona hiyo 'press conference' ya Msigwa, na ni muhimu kuwa sina nia kabisa ya vitu vya aina hiyo tena toka huyo jamaa ajiondoe akili kichwani.
Msigwa sikuwahi kuwa na matumaini makubwa naye sana, toka siku nyingi; pamoja na kwamba baadhi ya matukio, kama yale yaliyofanyika chini ya Magufuli, yalichanganya akili kidogo juu yake.
Sasa kinacho umiza kichwa, ni kuona dalili zile zile toka ndani ya chama kilicho tegemewa kutuondolea uozo kama huu unao utaja kufanyiwa mchungaji, udhalilishaji!
Sasa haitakuwa udhalilishaji wa mtu mmoja mmoja kama huyo Mchungaji, chama kizima kitadhalilishwa!.
Najua, wakati huo utakapo wadia, kutakuwa na tungo za ngonjera nyingi sana za kupindisha akili za wanao taka kupindisha akili.
Taratibu tunaanza kuyaona haya.
Makala ni Mwenezi hivyo alikuwa Sahihi kuhakikisha nidhamu ya Chama inazingatiwa
Mchungaji Msigwa kasema Chadema ni Saccos ya mtu mmoja..huo sio Udikteta?
Siyo kukosa uongozi tu Bali hata kutofautiana na viongozi. Hiyo siyo sababu ya msingi kuhama chamaUKWELI NI KWAMBA HUYU NI MCHUMIA TUMBO HUWEZI KUHAMA CHAMA KISA UMEKOSA UONGOZI
Wewe hakuwahi kukuhonga?Asisahau jinsi Tapeli la Kichaga linakula ruzuku na vimada wake
Aeleze jinsi mbowe anaejifanya doni anavyowaibia Chadema
Kila la heri Msigwa
Yule bwege analala kwa boni yai anasaka kiki kibwege sana
Maneno mazuri sana haya, ambayo wengi tumekuwa tukiyapa matumaini na uzito wake halisi.CDM bado ina dhamira ya dhati kabisa kukifanya kile siku zote ichokusudia kukifanya. Nacho ni kutwaa DOLA na kuikomboa Tanzania kutoka katika makucha na nira ya mkoloni mweusi.
Cdm kuna siri gani za kuwatisha ukisema unaenda kuongea?Mbowe aache kumsema Magufuli..aende akadhuru kaburi..huyu msigwa alikuwa babyboy wa mbowe .anajua siri nyingi za mbowe na chadema..hii si hali ya kawaida.
Anasema mtu apimwe ana kilo ngapi za akili kichwani.Kwani Mbunge Msukuma anasemaje?