Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Sikuingia CHADEMA kutafuta Vyeo bali Kuwatumikia Wananchi, nitaendelea kukitumikia chama Katika Jimbo lolote mtakalonihitaji!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Msigwa amekomaa kisiasa haswa
 
Strong Words from Great Men
 
Chadema kati ya Msigwa na Sugu wameamua kuchagua Sugu.

Kama Taifa tuna safari ndefu sana.
 
Rushwa za waziwazi zilizosheheni ndani ya CHADEMA mpaka kusababisha sugu kushinda huko nyanda za juu, hakika ni angamizo la CHADEMA, CHADEMA hii hakika kwa kile kilichofanyika, CHADEMA ni chama kisichofaa na watanzania wanahitaji chama mbadala wake.

Chama cha upinzani kilitakiwa kuwa chama cha mfano kwa kupinga rushwa hizi za waziwazi, hakika inasikitisha sana, CHADEMA leo hii ndio wamegeuka wala rushwa wakubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…