Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Sana Sana sanaRoho zinawauma CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana Sana sanaRoho zinawauma CCM
Msigwa amekomaa kisiasa haswa
Mchungaji Msigwa amesema kuwepo kwake CHADEMA siyo kwa ajili ya kutafuta Vyeo kwani Vyeo huwa vinakuja na kuondoka lakini Wananchi wa kuwatumikia wapo muda wote.
Hivyo ataendelea kukitumikia chama kwa Uaminifu na yuko tayari kwenda popote atakapoitwa kutekeleza majukumu ya kichama japo hana Cheo chochote.
Msigwa amewapongeza Washindi wote wa Kanda ya Nyasa.
Mlale Unono 😀😀
Pia soma: Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa
Sana namkubali balaa mchungajiPolitical maturity
Mara ya mwisho CCM mlifanya lini?Mfanye uchaguzi wa mwenyekiti pia
Kwenye kushindana lazima mmoja awe mshindiHii ndo demokrasia asee wameumana afu marafiki balaa.nshawahi kukutana nao china mgahawani
Mwaka juzi,lakini mwenyekiti wa chadema anaelekea robo karne.Mara ya mwisho CCM mlifanya lini?
Alishindana na nani?Mwaka juzi,lakini mwenyekiti wa chadema anaelekea robo karne.
SahihiHuu mfumo aliupenda JK unakuwa na vibaraka humo humo Ndani ya Vyama Vya Upinzani na siyo kuwaungisha Juhudi
😂😂😂Mwaka juzi,lakini mwenyekiti wa chadema anaelekea robo karne.
Strong Words from Great Men
Mchungaji Msigwa amesema kuwepo kwake CHADEMA siyo kwa ajili ya kutafuta Vyeo kwani Vyeo huwa vinakuja na kuondoka lakini Wananchi wa kuwatumikia wapo muda wote.
Hivyo ataendelea kukitumikia chama kwa Uaminifu na yuko tayari kwenda popote atakapoitwa kutekeleza majukumu ya kichama japo hana Cheo chochote.
Msigwa amewapongeza Washindi wote wa Kanda ya Nyasa.
Mlale Unono 😀😀
Pia soma: Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa
Unaumia ukiwa wapi Chawa wa magufuli?Anaeumwa na roho ni yule aliyeshindwa!
Muache shujaa apumzike!Unaumia ukiwa wapi Chawa wa magufuli?
Nani alikwambia amtu mwovu anapumzika?Muache shujaa apumzike!
Chadema kati ya Msigwa na Sugu wameamua kuchagua Sugu.
Mchungaji Msigwa amesema kuwepo kwake CHADEMA siyo kwa ajili ya kutafuta Vyeo kwani Vyeo huwa vinakuja na kuondoka lakini Wananchi wa kuwatumikia wapo muda wote.
Hivyo ataendelea kukitumikia chama kwa Uaminifu na yuko tayari kwenda popote atakapoitwa kutekeleza majukumu ya kichama japo hana Cheo chochote.
Msigwa amewapongeza Washindi wote wa Kanda ya Nyasa.
Mlale Unono 😀😀
Pia soma: Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa
Mwenyekiti yupi Bi Kizi.mkazi? Yule form ni moja tu iliyokwisha shapishwa au hujui sheikh.Mfanye uchaguzi wa mwenyekiti pia
Nilijua tu ile movie ya Sugu na Msigwa ilikuwa kupoteza Maboya ccmSafi sana Msigwa, hayo majibu ni vijembe kwa CCM ambao wanatamani uanzishe mtafaruku ndani ya chama.