Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Ingekuwa msigwa ndio nafasi yake ya Kwanzaa au ya pili kuwa mwenyekiti wa Kanda, hapo ningeamini kweli labda kafanyiwa finish. Lakini Amersham shika Nicholas kiti kwa zaidi ya miaka kumi bado anakitaka. Mbona Lema kaamuwa kujitowa mapema na hakuna kelele? Msingwa anatafuta Mafao kutoka ccm.Msigwa sio kibaraka wa CCM, mtu kudai haki yake hakumuondolei uhalali wa uanachama wake Chadema, grow up.
Hebu nitajie kina nani waliwahi kudhulumiwa na Mbowe wakatoa malalamiko yao, hebu nitajie nami niwajue kama wewe...
Wewe kidampa wa uvccm mambo ya Chadema yanakuhusu nini?Lawama kila kanda. Kanda ya ziwa ndio hivyo.. Ujanja ujanja mwingi tu.
Huko nyanda za juu kusini ndio kabisa. Hadi kibaraka wa CCM Msigwa analia na kutoa makamasi
Dhuluma na ujanja ujanja amezoea Mbowe. Sasa imekuwa kasumba kwenye chaguzi za Chadema
π€£ π€£ π€£Blaza mbowe haondoki leo wala kesho kaa ukijua hilo na kama unajisikia kichefuchefu subir miezi 9 ikamilike ujifungue
Walio kutuma waambie bado tupo imaraaaLawama kila kanda. Kanda ya ziwa ndio hivyo.. Ujanja ujanja mwingi tu.
Huko nyanda za juu kusini ndio kabisa. Hadi kibaraka wa CCM Msigwa analia na kutoa makamasi
Dhuluma na ujanja ujanja amezoea Mbowe. Sasa imekuwa kasumba kwenye chaguzi za Chadema
Zitto Kabwe na MwigambaMsigwa sio kibaraka wa CCM, mtu kudai haki yake hakumuondolei uhalali wa uanachama wake Chadema, grow up.
Hebu nitajie kina nani waliwahi kudhulumiwa na Mbowe wakatoa malalamiko yao, hebu nitajie nami niwajue kama wewe...
Halafu ikawaje tena?
Mchungaji Msigwa amesema kuwepo kwake CHADEMA siyo kwa ajili ya kutafuta Vyeo kwani Vyeo huwa vinakuja na kuondoka lakini Wananchi wa kuwatumikia wapo muda wote.
Hivyo ataendelea kukitumikia chama kwa Uaminifu na yuko tayari kwenda popote atakapoitwa kutekeleza majukumu ya kichama japo hana Cheo chochote.
Msigwa amewapongeza Washindi wote wa Kanda ya Nyasa.
Mlale Unono ππ
Pia soma: Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa
Mchungaji Msigwa: Chadema kuna Fitina na Uhuni mkubwaHalafu ikawaje tena?
Lumumba mnaendeleaje?Mbowe mtamtoaje?? Yeye anaamino cdm ni mali yake binafsi.Ni biashara yake mtaji wake hatoki milele na kaweka vijokeri vyake vinatukana watu tu..Hamna adabu kabisa kwa kuangalia mbinu zenu tunaamini lissu ndio kabisa mpinzani wengine nyie zero plus.
Mpumbavu mwingine huyu hapaLawama kila kanda. Kanda ya ziwa ndio hivyo.. Ujanja ujanja mwingi tu.
Huko nyanda za juu kusini ndio kabisa. Hadi kibaraka wa CCM Msigwa analia na kutoa makamasi
Dhuluma na ujanja ujanja amezoea Mbowe. Sasa imekuwa kasumba kwenye chaguzi za Chadema
Bora wewe ni wanachadema wa kweli,wenzio wamejaa ujinga tu,wamegeuka vidampa wa bwana mbowe,kwakweli endelea kuwaelimisha wale ambao msigwa aliwaita nyumbu.Lawama kila kanda. Kanda ya ziwa ndio hivyo.. Ujanja ujanja mwingi tu.
Huko nyanda za juu kusini ndio kabisa. Hadi kibaraka wa CCM Msigwa analia na kutoa makamasi
Dhuluma na ujanja ujanja amezoea Mbowe. Sasa imekuwa kasumba kwenye chaguzi za Chadema
Zitto na Mwigamba wote walikuwa wanatafuta sababu ya kwenda ACT, hawakudhulumiwa chochote wale wanachama wa kundi la pindua Mbowe 2014.Zitto Kabwe na Mwigamba
Kubadilika ni wewe mwenyewe. Kumtumia Mbowe ni namna tu ya kuhamisha tatizo. Ni sawa na mtu kuvuta bangi au kunywa pombe kwa kudai "anapunguza mawazo". Mawazo hayaondoki kwa kuvuta bangi/kunywa pombe (ni kujiliwaza tu) sawa na kudhani Mbowe ni tatizo kwa Chadema. Kwani huwa anajichagua? Kama yeye ni tatizo, kwa nini akiitisha mkutano viongozi na wanachama wanahudhuria? Yaani mnajua Mbowe ni tatizo, halafu akiwaita mnakwenda kwake? Mwenye tatizo hapo nani, yeye au nyinyi? Hivyo, tafuta vizuri tatizo liko wapi, hujapata chanzo cha tatizo bado.
Mchungaji Msigwa amesema kuwepo kwake CHADEMA siyo kwa ajili ya kutafuta Vyeo kwani Vyeo huwa vinakuja na kuondoka lakini Wananchi wa kuwatumikia wapo muda wote.
Hivyo ataendelea kukitumikia chama kwa Uaminifu na yuko tayari kwenda popote atakapoitwa kutekeleza majukumu ya kichama japo hana Cheo chochote.
Msigwa amewapongeza Washindi wote wa Kanda ya Nyasa.
Mlale Unono ππ
Pia soma: Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa
Mchungaji Msigwa amesema kuwepo kwake CHADEMA siyo kwa ajili ya kutafuta Vyeo kwani Vyeo huwa vinakuja na kuondoka lakini Wananchi wa kuwatumikia wapo muda wote.
Hivyo ataendelea kukitumikia chama kwa Uaminifu na yuko tayari kwenda popote atakapoitwa kutekeleza majukumu ya kichama japo hana Cheo chochote.
Msigwa amewapongeza Washindi wote wa Kanda ya Nyasa.
Mlale Unono ππ
Pia soma: Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa
Hatimaye imekuwaHatukubali, lazima Lissu na Msigwa wakihame chama, wameonewa