Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Sikuingia CHADEMA kutafuta Vyeo bali Kuwatumikia Wananchi, nitaendelea kukitumikia chama Katika Jimbo lolote mtakalonihitaji!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbowe mtamtoaje?? Yeye anaamino cdm ni mali yake binafsi.Ni biashara yake mtaji wake hatoki milele na kaweka vijokeri vyake vinatukana watu tu..Hamna adabu kabisa kwa kuangalia mbinu zenu tunaamini lissu ndio kabisa mpinzani wengine nyie zero plus.
 
Msigwa sio kibaraka wa CCM, mtu kudai haki yake hakumuondolei uhalali wa uanachama wake Chadema, grow up.

Hebu nitajie kina nani waliwahi kudhulumiwa na Mbowe wakatoa malalamiko yao, hebu nitajie nami niwajue kama wewe...
Ingekuwa msigwa ndio nafasi yake ya Kwanzaa au ya pili kuwa mwenyekiti wa Kanda, hapo ningeamini kweli labda kafanyiwa finish. Lakini Amersham shika Nicholas kiti kwa zaidi ya miaka kumi bado anakitaka. Mbona Lema kaamuwa kujitowa mapema na hakuna kelele? Msingwa anatafuta Mafao kutoka ccm.
 
Lawama kila kanda. Kanda ya ziwa ndio hivyo.. Ujanja ujanja mwingi tu.

Huko nyanda za juu kusini ndio kabisa. Hadi kibaraka wa CCM Msigwa analia na kutoa makamasi

Dhuluma na ujanja ujanja amezoea Mbowe. Sasa imekuwa kasumba kwenye chaguzi za Chadema
Wewe kidampa wa uvccm mambo ya Chadema yanakuhusu nini?
 
Msigwa sio kibaraka wa CCM, mtu kudai haki yake hakumuondolei uhalali wa uanachama wake Chadema, grow up.

Hebu nitajie kina nani waliwahi kudhulumiwa na Mbowe wakatoa malalamiko yao, hebu nitajie nami niwajue kama wewe...
Zitto Kabwe na Mwigamba
 
Mchungaji Msigwa amesema kuwepo kwake CHADEMA siyo kwa ajili ya kutafuta Vyeo kwani Vyeo huwa vinakuja na kuondoka lakini Wananchi wa kuwatumikia wapo muda wote.

Hivyo ataendelea kukitumikia chama kwa Uaminifu na yuko tayari kwenda popote atakapoitwa kutekeleza majukumu ya kichama japo hana Cheo chochote.

Msigwa amewapongeza Washindi wote wa Kanda ya Nyasa.

Mlale Unono 😀😀

Pia soma: Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa
Halafu ikawaje tena?
 
Mbowe mtamtoaje?? Yeye anaamino cdm ni mali yake binafsi.Ni biashara yake mtaji wake hatoki milele na kaweka vijokeri vyake vinatukana watu tu..Hamna adabu kabisa kwa kuangalia mbinu zenu tunaamini lissu ndio kabisa mpinzani wengine nyie zero plus.
Lumumba mnaendeleaje?
 
Lawama kila kanda. Kanda ya ziwa ndio hivyo.. Ujanja ujanja mwingi tu.

Huko nyanda za juu kusini ndio kabisa. Hadi kibaraka wa CCM Msigwa analia na kutoa makamasi

Dhuluma na ujanja ujanja amezoea Mbowe. Sasa imekuwa kasumba kwenye chaguzi za Chadema
Mpumbavu mwingine huyu hapa
 
Lawama kila kanda. Kanda ya ziwa ndio hivyo.. Ujanja ujanja mwingi tu.

Huko nyanda za juu kusini ndio kabisa. Hadi kibaraka wa CCM Msigwa analia na kutoa makamasi

Dhuluma na ujanja ujanja amezoea Mbowe. Sasa imekuwa kasumba kwenye chaguzi za Chadema
Bora wewe ni wanachadema wa kweli,wenzio wamejaa ujinga tu,wamegeuka vidampa wa bwana mbowe,kwakweli endelea kuwaelimisha wale ambao msigwa aliwaita nyumbu.
 
Mchungaji Msigwa amesema kuwepo kwake CHADEMA siyo kwa ajili ya kutafuta Vyeo kwani Vyeo huwa vinakuja na kuondoka lakini Wananchi wa kuwatumikia wapo muda wote.

Hivyo ataendelea kukitumikia chama kwa Uaminifu na yuko tayari kwenda popote atakapoitwa kutekeleza majukumu ya kichama japo hana Cheo chochote.

Msigwa amewapongeza Washindi wote wa Kanda ya Nyasa.

Mlale Unono 😀😀

Pia soma: Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa
Kubadilika ni wewe mwenyewe. Kumtumia Mbowe ni namna tu ya kuhamisha tatizo. Ni sawa na mtu kuvuta bangi au kunywa pombe kwa kudai "anapunguza mawazo". Mawazo hayaondoki kwa kuvuta bangi/kunywa pombe (ni kujiliwaza tu) sawa na kudhani Mbowe ni tatizo kwa Chadema. Kwani huwa anajichagua? Kama yeye ni tatizo, kwa nini akiitisha mkutano viongozi na wanachama wanahudhuria? Yaani mnajua Mbowe ni tatizo, halafu akiwaita mnakwenda kwake? Mwenye tatizo hapo nani, yeye au nyinyi? Hivyo, tafuta vizuri tatizo liko wapi, hujapata chanzo cha tatizo bado.
 
Mchungaji Msigwa amesema kuwepo kwake CHADEMA siyo kwa ajili ya kutafuta Vyeo kwani Vyeo huwa vinakuja na kuondoka lakini Wananchi wa kuwatumikia wapo muda wote.

Hivyo ataendelea kukitumikia chama kwa Uaminifu na yuko tayari kwenda popote atakapoitwa kutekeleza majukumu ya kichama japo hana Cheo chochote.

Msigwa amewapongeza Washindi wote wa Kanda ya Nyasa.

Mlale Unono 😀😀

Pia soma: Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa

Msingwa kuna mtu kamchochea .... Inawezekana kabisa ingawa ni nguvu kutoka nje ya chama. Haiwezekani akapiga U turn kubwa kiasi hicho. PESA za ABDUL na Mama yake.....!!
 
Back
Top Bottom