Duuh yaani EDO anatupa hasira kweli bora tuu wakamshitaki huko kunako sheria....Hata wanyama wanaweza kuwa na busara katika maamuzi ila Mtikila anashangaa wanaomshabikia Edward Lowassa ambaye ni mwizi na kwa uchafu alioufanya nchi hii kama ingalikua ni China angeshanyongwa muda mrefu sana,Awataka watanzania waache ushabiki.
Anaenda mbali zaidi alipozungumzia afya ya Edward Lowassa na kusema maradhi alionayo yanaathiri kichwani.
Kuhusu taarifa za tafiti zilizofanywa na TWAWEZA Mtikila anamshukuru Mungu kwani wanaomuunga mkono Edward Lowassa fisadi ni wachache.
Anaendambali kwakusema watu wanaomshabikia Edward Lowassa wanautahaira nusu(epedomia) anasisitiza Watanzania tuwe makini na huyu fisadi.
Anasema ukiachilia mbali matatizo yao ni afadhali ya Magufuli awe raisi wa nchi.
Mfano anatoa mfano wa afya zao Edward Lowassa ni mgonjwa na hatuwezi geuza Ikulu kua ICU ya wagonjwa.Na anasema mficha maradhi mauti humuumbua na anasisitiza Edward Lowassa angejikita kwenye afya yake kwanza.
Anakumbusha wizi wa Edward Lowassa ambao alituongopea akaahidi kwenda kutununulia mvua na kutumia pesa nying na hatimae mvua yakununua ikawa ni uongo mtupu.
Au vp bwanaHahahahaha
Mtikila ni bora kuliko Gwajima. Mshauri wa Lowassa anayetaka kugeuza misikiti yote iwe Sunday School
Hivi huyu si yule Mtikila aliyejaribu kumsakama Rostam Aziz wakati fulani kuhusu yeye (Rostam) kutoa mchango kanisani, Rostam akamwuliza mbona hata yeye (Mtikila) Rostam alishawahi kumchangia. Mtikila alipokana kuwa Rostam hajawahi kumchangia, Rostam alitoa ushahidi wa Paymant Voucher ya shilingi Milioni tatu iliyosainiwa na Mtikila mwenyewe. Tangu wakati huo sikuwahi kumsikia tena Mtikila hadi hivi majuzi.