Mchungaji wa kanisa la Wasabato Kahama na familia yake wasoteshwa rumande kwa kesi ya dawa za kulevya


Kwamba mama mchungaji ndani ya msukosuko akipitishwa kati ya bonde la kivuli cha mauti alimwita mumewe?

Kwamba mumewe alifika kutoa msaada ila naye akaishia kupewa kesi na nyuma ya yote ni ofisa muumini mwenye msuguano naye tokea kanisani kwake?

Kwa hakika ni stupid.

Tangu lini madaktari wakawa na cha kufanya na dawa mahospitalini? Kwani madaktari ni wafamasia au japo manesi?

Utaratibu huu wa TAKUKURU kuvamia mahospitalini kunyanyasa wauguzi mbele za wagonjwa umekaa je?

Ya hivi yamewahi kutokea popote pengine hapa nchini? Si kuwa mama mchungaji alikuwa target, yaani katengenezewa zengwe kimkakati tu?

Tukio hili limetatiza wengi na kuwaacha bila ya majibu.
 
Kesi nyepesi kabisa hii huyo mama mganga anahitaji tu mwanasheria mzuri ila hakuna kesi hapo
 
Huyo Mumkamate Mumfire, Wa Kurya mnafelia wapi ?
 
Leo ni Sabato ni jambo la waumini wote kufunga na kuomba kwa ajili ya huyo mtumishi ndg mchungaji.

Kufunga na kuomba si kwa ajili ya zile chemistry zinazoletwa na field au union zenu hata issues zinazowahusu waumini huko makanisani kwenu!.
 
Leo ni Sabato ni jambo la waumini wote kufunga na kuomba kwa ajili ya huyo mtumishi ndg mchungaji.

Kufunga na kuomba si kwa ajili ya zile chemistry zinazoletwa na field au union zenu hata issues zinazowahusu waumini huko makanisani kwenu!.

Tufunge na kuomba. Tuikumbuke familia hii. Tulikumbuke kanisa la Nyasubi Kahama. Tumlilie bwana. Bwana atatenda.
 
Kumbe shida ni kwamba afisa wa takukuru alikua mzinzi. Harafu huyu huyu jamaa wa takukuru akatengeneza movie mama Mchungaji kukamtwa kwa kusimsingizia kuiba madawa ya hapo hospitalini. Mchungaji aliposimama Kama baba na mlinzi wa familia kumkingia kifua mama akawekwa ndani.
Halafu  Kumbe polisi wamekosea kumuweka mtoto ndani.
 
NiPM
Jina la mtakukuru
 
Kanisa na waumini wa kisabato huwa ni watu ambao mambo yao hawapendi sana Social media kama makanisa mengine hata mambo ya kutumiwa na viongozi wa kisiasa kama madhehebu na Dini zingine wao wako tofauti saana katika hili naamini viongoI wa Conference na Union watalimaliza vizuri saana
 
Mnapoamua kukimbilia huku vema muwe mnatafakar8 kwanza mnachokileta JF.

Habari yako haina kichwa wala miguu,haieleweki imeegemea kwenye nini?

Kulaani wizi wa madawa hospitalini?
Uzinzi kanisani?
Au ofisa wa TAKUKURU kutumia madaraka yake vibaya?

Halafu lugha za kihuni huni kama "mbususu" zinakuondolea heshima kwenye thread yako.
 

Utakuwa kipofu kutokuona habari hii imeegamia wapi. Utakuwa kipofu zaidi kujiaminisha habari hii haina kichwa wala miguu.

Yote yaliyoelezwa yako wazi kwa mwenye macho yake kuona.

Ndani ya changamoto zote itifaki zote ikiwamo lugha, zimezingatiwa kwa viwango vyake.
 

Ume summarize vyema kasoro hapa:

"Halafu  Kumbe polisi wamekosea kumuweka mtoto ndani."

Kwani mtoto kichanga kingebaki wapi?

"Kumkingia kifua" ninadhani ulimaanisha "kumgombelezea."
 

Ninakubaliana nawe ndiyo maana post namba 13 nIliandika haya:

"Ninaamini pamoja na vyombo vya serikali, SDA church ni taasisi kubwa yenye connections za kutosha. Kwamba hawataacha kuchukua hatua stahiki kuona mtumishi wao huyu na familia yake hawadhalilishwi kireja reja hivi na mtu tu, kwa kutumia vyombo vya dola isivyo halali."
 
Huyo afisa wa takukuru atapata laana ,mchungaji ni mtiwa mafuta wa mungu.kuna watu wawili hapa kwetu waliwahi kumpiga mch. Wetu cha ajabu walikufa wote vifo vya ajabu.huyo afisa namuonea huruma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…