M mkolintho Member Joined Mar 3, 2023 Posts 56 Reaction score 40 May 22, 2023 Thread starter #81 Tajiri mkopeshaji said: Wachungaji hao amabao jiwe alikua anakiuka katiba na kuua watu wao walikaaa kimya tu bila kukemea,tena walikua wanaunga juhudi ..acha nae ataabike πππ Click to expand... Wengine ni vijana wameanza kazi baada ya jiwe kufariki. Hao nao utasema namna gani mwana harakati?
Tajiri mkopeshaji said: Wachungaji hao amabao jiwe alikua anakiuka katiba na kuua watu wao walikaaa kimya tu bila kukemea,tena walikua wanaunga juhudi ..acha nae ataabike πππ Click to expand... Wengine ni vijana wameanza kazi baada ya jiwe kufariki. Hao nao utasema namna gani mwana harakati?