- Thread starter
- #81
Wachungaji hao amabao jiwe alikua anakiuka katiba na kuua watu wao walikaaa kimya tu bila kukemea,tena walikua wanaunga juhudi ..acha nae ataabike 😂😂😂
Wengine ni vijana wameanza kazi baada ya jiwe kufariki. Hao nao utasema namna gani mwana harakati?