MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

😁Kupalilia..
 
Sidhani kama alimlawiti humo garini, inawezekanaje kwa dakika 30 tu awe kaingia na kulawiti na kutoka. Mhm hii nami nakubali ni mipango ya kumuondoa kwenye U-RC tu.
 
Huyo kigogo anaiabisha mamlaka yake ya uteuzi.Mwenyewe anajiona mjanja, kumbe ni mpuuze kama wapuuzi wengine.Sheria ichukue mkondo wake
 
Vijana wa siku hizi nani kakuambia mapenzi ni kujuana kwanza mapenzi nikwenda ona bint wa watu afu unampenda unamtolea mahari sio kupalilla penzi kama unavyo sema, kwani yeye shamba
 
Yaani kuna tuhuma nyingine mbaya sana ebu fikiria mtu kama huyu anatenguliwa kwa tuhuma za ulawiti sasa siku anaenda kutembea nyumbani kwao anapokewa na Mama yake na dada zake na mabinti zake au wa ndugu zake hivi anawatazama vipi!
Watu kama hao mshipa wa aibu ulishakatika siku nyingi...
 
Sakata lililokuwepo Polisi Mwanza la kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi Mwanza linamhusu na tayari alishatumbuliwa. Sehemu nyingi alizopita huyu bwana pamoja na uchapa kazi wake scandals zake ni kupenda chini na kwa Mpalange sana sana.
Huenda alianza maisha kama mkaanga samaki, wakaanga samaki wanadesturi ya kuwageuzageuza samaki wao, hivi samaki ukimkaanga upande mmoja hatanoga?
 
Yeah amedhalilisha taasisi.
Hayo ni mambo ya kufanya vijana wacheza singeli anakuja kufanya msaidizi wa Rais ni kuitukanisha serikali kwamba katika watanzania milioni 60 wameshindwa kupata wateule wanaojielewa
 
Alimlewesha kwanza ndio akawa anajipimia mwenyewe, rafiki zake binti walipoona mwenzao ananuka nnya ndio wakamwambia awahi polisi.
Naona binti alikatiwa pochi la nguvu ndio akafuta mashtaka.
Hata Kama kafuta SSH hataki ujinga.
😃😃😃😃😃😃Ni jambo la kusikitisha sana
 
Huyo kahaba ndogo alitoa mwenyewe ila wenzake walimstukia ananuka mavi ndiyo wakamjaza upepo akashitaki ili avute mpunga mrefu kwa huyo ama hii unayosema ina u
Endapo hii unayosema ina ukweli bado pande zote wana makosa.
Hata kama hakumbaka atatuhumiwa kwa kosa la ukosefu wa maadili kwa kutumia gari ya umma kama guest house ya kufanyia ngono ya kinyume cha maumbile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…