Mrs Besyige
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 1,040
- 2,923
hupendezei na story za aina hii kabisa🚮Kajifanya mjanja kala vya watu halafu hataki kutoa bumunda!
Arusha wana huo upuuzi sana tuu.. Mimi mmoja nilimuonesha mtutu ndio tukaenda sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna harufu ya visasi hapaKada mwenyewe si alipigwa mvua kadhaa
Ova
Siwezi kuficha nyayo zangu... Nikizifukia kuna watakaozifukua. Ni story ya miaka hiyo nilipokuwa kijana.. Hakuna ambaye hakufanya ujinga ujanani.. My apology kwa kukwazika Mrs Besyige But the truth has to be told.. [emoji1545]hupendezei na story za aina hii kabisa[emoji706]
Shida ya hawa wadada wana tamaa sana. Kuna jamaa alimshushia kipigo dada mmoja guest sitasahau like tukio. Tukiwa tumelala zetu tumetulia bila kujua kumbe baadhi ya vyumba vinatumiwa kama danguro ghafla tukasikia kelele nipige uniue. Hatukutoka tukawa tunasikilizia ndani badae wakatoana koridoni na meneja wa Hotel akawa anawasulisha, ishu ikawa kumbe YULE DADA ALIPATANA DAU NA JAMAA APIGE 2 - 0 , ILE JAMAA KAFUNGA GOLI LA KWANZA MDADA KAPIGIWA NA MTEJA MWINGINE KAMPOKEA KAMWAMBIA YUPO FREE AKIJUA MPAKA AFIKE JAMAA ATAKUWA KATOKA PASIPO KUJUA MTEJA WA PILI ALIKUWA MITAA YA KARIBU SO NDANI YA DAKIKA 2 AKAPIGA TENA AMEFIKA, SASA MDADA NA TAMAA YA PESA AKAMWAMBIA JAMAA ALIEKUWA NAE NDANI ATOKE NJE ASUBIRI JAMAA AINGIE APIGE KAMOJA HALAFU ARUDI WAENDELEE. JAMAA NAE AKAMWAMBIA HUYO ALIEKUJA NDIO MWAMBIE ASUBIRI NJE MAANA TAYARI YUKO NJE AU NIRUDISHIE PESA NUSU TUISHIE HAPA, MDADA HATAKI KURUDISHA PESA NA ANAKOMAA JAMAA ATOKE NJE KIMBEMBE KIKAWA KIMBEMBE SIO POA ALICHEZEA.
Siwezi kuficha nyayo zangu... Nikizifukia kuna watakaozifukua. Ni story ya miaka hiyo nilipokuwa kijana.. Hakuna ambaye hakufanya ujinga ujanani.. My apology kwa kukwazika Mrs Besyige But the truth has to be told.. [emoji1545]
Sent using Jamii Forums mobile app
SASA MDADA NA TAMAA YA PESA AKAMWAMBIA JAMAA ALIEKUWA NAE NDANI ATOKE NJE ASUBIRI JAMAA AINGIE APIGE KAMOJA HALAFU ARUDI WAENDELEE[emoji23]Shida ya hawa wadada wana tamaa sana. Kuna jamaa alimshushia kipigo dada mmoja guest sitasahau like tukio. Tukiwa tumelala zetu tumetulia bila kujua kumbe baadhi ya vyumba vinatumiwa kama danguro ghafla tukasikia kelele nipige uniue. Hatukutoka tukawa tunasikilizia ndani badae wakatoana koridoni na meneja wa Hotel akawa anawasulisha, ishu ikawa kumbe YULE DADA ALIPATANA DAU NA JAMAA APIGE 2 - 0 , ILE JAMAA KAFUNGA GOLI LA KWANZA MDADA KAPIGIWA NA MTEJA MWINGINE KAMPOKEA KAMWAMBIA YUPO FREE AKIJUA MPAKA AFIKE JAMAA ATAKUWA KATOKA PASIPO KUJUA MTEJA WA PILI ALIKUWA MITAA YA KARIBU SO NDANI YA DAKIKA 2 AKAPIGA TENA AMEFIKA, SASA MDADA NA TAMAA YA PESA AKAMWAMBIA JAMAA ALIEKUWA NAE NDANI ATOKE NJE ASUBIRI JAMAA AINGIE APIGE KAMOJA HALAFU ARUDI WAENDELEE. JAMAA NAE AKAMWAMBIA HUYO ALIEKUJA NDIO MWAMBIE ASUBIRI NJE MAANA TAYARI YUKO NJE AU NIRUDISHIE PESA NUSU TUISHIE HAPA, MDADA HATAKI KURUDISHA PESA NA ANAKOMAA JAMAA ATOKE NJE KIMBEMBE KIKAWA KIMBEMBE SIO POA ALICHEZEA.
Sisi watz ndio tunazipenda Sio yeye Ye ni mfanyabiashara anaangalia soko linataka habari ganiHizo habari mirad ayo anazipenda ila swala la habari sijui ccm wameboronga uwezi kuona kapost
👏..basi ulikua mtata..Siwezi kuficha nyayo zangu... Nikizifukia kuna watakaozifukua. Ni story ya miaka hiyo nilipokuwa kijana.. Hakuna ambaye hakufanya ujinga ujanani.. My apology kwa kukwazika Mrs Besyige But the truth has to be told.. [emoji1545]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa utaratibu huo ulinusurika kwenda jela miaka 30Arusha wana huo upuuzi sana tuu.. Mimi mmoja nilimuonesha mtutu ndio tukaenda sawa
Ili akufurahishe?Hizo habari mirad ayo anazipenda ila swala la habari sijui ccm wameboronga uwezi kuona kapost
Na wewe unanunua? Huogopi roho wachafu? Au lazima uitajase mbususu kabla ya kuichakata??🤣🤣Kajifanya mjanja kala vya watu halafu hataki kutoa bumunda!
Arusha wana huo upuuzi sana tuu.. Mimi mmoja nilimuonesha mtutu ndio tukaenda sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wa kinondoni staili yeyeto lazima uchomolowe wakat we unashughulika mwenzio yupo bize kushughulikia mifuko yakoKwanza tuanzie hapa je, Umalaya ni Kazi halali na inayompendeza Mwenyezi Mungu na aliibariki katika Vitabu vyake Vitakatifu?
Ukijijua Wewe ni Malaya usipende kuwa na Tamaa kwa Mteja juu ya kile mlichokubaliana, usiwe Mwizi au Mchonga Madili na Wezi ili ukiwa na Mteja wako waje Kumvamia na wamkwapue Hela au Mali za Thamani.
Malipo ya Upumbavu huwa ni hapa hapa duniani na Wahenga walituambia 'you will reap what you sow' Kudadadeki....!!
Nimezeeka sasa [emoji23] nimejawa na tafakuri kabla sijatenda lolote[emoji122]..basi ulikua mtata..
Kajifanya mjanja kala vya watu halafu hataki kutoa bumunda!
Arusha wana huo upuuzi sana tuu.. Mimi mmoja nilimuonesha mtutu ndio tukaenda sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu ni mwema ujana huwapa watu uthubutu wa ajabu mnoKwa utaratibu huo ulinusurika kwenda jela miaka 30
Kwamba ushauri utamkuta kaburini
Dah aisee ufusika pro-max.... Mimi kuliko kutoa pesa ninunue kahaba bora nile Puchu tu, kwanza mimi nikishajua una mabwana buku, mzuka uwa unaishia hapo... Nakata mazoea, siwezi kuhalalisha ukaaba kwa kununua malaya
Simlaumu Millard Ayo.Hizo habari mirad ayo anazipenda ila swala la habari sijui ccm wameboronga uwezi kuona kapost
Ni aho kae umbujeHaaaa
[emoji38][emoji38][emoji38]
Umbuje !
Hutakagi masihara?!