Mdada anaejiuza Shivaz Arusha, kakutwa amenyongwa gesti

mbona hii habari haipo kwenye pages za miladi ayo?
 
Shiva mitaa ya Olololoo!

Hivi yule Masai bado yupo kwenye ile gesti nyuma ya Shiva mameneja wake mapacha " Hassan na Hussein"?
Hawa mapacha Hasani na Husein kama ni wale wa mti safi nini?
 
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji375] hakikka mkuu[emoji109][emoji109]
 
Mimi mmoja nilimuonesha mtutu ndio tukaenda sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe na wewe ni mkorofi na unamiliki mtutu .... kwani ungemwachia baada ya yeye kula vyako ungepungukiwa na nini? kumshikia mwenzio mtutu utelezi haunogi tenaaa

ila wadada POA wanakutana na mengiii na hawakomi /hawaachi / bado wanaendelea
 
Tuko pamoja katika hili, sijawahi kuelewa hii kitu, anatoka anaingia...binafsi nikijua tu una mtu wako basi naachia ngazi, nnajihisi tofauti.
 
Wahenga walituambia 'you will reap what you sow' Kudadadeki....!!
Hii Ina apply kwa blacks tu mkuu?
Sijaona wazungu na waarabu wakivuna walichokifanya kwa waafrika. Imagine watumwa 180M walisafirishwa Ile slave trans antlatic trade ,waarabu wametuua mno,kutuuza utumwani na wazungu wanazidi kutuibia madini,wanachonganisha watu wanapigana wanauza silaha mbona bado wanastawi na wanaibiwa wanazidi kuwa masikini zaidi na hatuoni hayo malipo mpaka Leo hii hapa dp world wanatuibia bandari kwa miktaba ya wizi. Naomba unielezee hii imekaaje ama inaogopesha mwafrika asije akamuibia mzungu Bali yeye anamuibia mwafrika.
Kumbuka Libya saivi mafuta yake yanachotwa kwa namna ya wizi na ulaghai. Vipi na hili USA ,France watavuna lini walichokipanda
 
...Du, ikaishaje Mkuu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…