Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Jamaa ametaja jina la Tundu Lisu na Jusa kila baada ya sentence na hawa Udasa siku nyingine hii midahalo wapeleke vichochoron huu ukumbi ilikua haupigiwi makof ovyo ovyo kama wanavyofanya hawa vilaza
 
mengi aliingia gharama kubwa ya kumleta mkenya jana,wakampa na tuition aongee nini?.
Mi nikashangaa mkenya na mipasho wapi na wapi,kumbe amepewe scene.
 
Kwa conclusion aliyotoa Mh. Wassira ni wazi ule msaniati wa 'maridhiano' ambayo ndio nguzo kuu ya utengenezaji wa katiba haumo kabisa kichwani mwake.
Anabase kwenye 'wengi wape' bila kujikumbusha kuwa vyama vingi Tanzania vililetwa na watanzania chini ya 20% na kuachana na mawazo yasiyo ya tija ya zaidi ya 80%
 

Naona prof Mpangala anatoa FACTS bila kupepesa macho. Mtaalam tunasema anajilipua au anajitoa Muhanga
 
Hiyo ni mdahalo wa Magamba, hakuna jipya hapo. Mamluki wa magamba yamejaa ukumbini hapo, hawajui hata wanalolipigia makofi....
 
Anasema rasimu ya katiba ya warioba izingatiwe.
 
Lisu Tundu ni jembe kwelikweli

Huyu prof Anathibitisha kwa yale matano aliyoyatafiti hakuna hata moja la Wassira yote Lisu ameyasema.
 
Profesa Mpangala: utafiti uliofanywa sababu za mkwamo ni kupuuzwa kwa misingi ya Rasimu, kukebehi rasimu, utata ktk uzinduzi kwa Rais kutoa maoni ya chama tawala, muundo wa wajumbe wa Bunge la Katiba kuwa uwingi wa wanasiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…