Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Hivi hawa si ndio waliopewa laki na nusu kuja kushangilia nkrumah...
 
Ukawa rudini bungeni, Watanzania watawalaumu kwa kula kodi yao na kutoroka.
 
Yaani ni uchafu kuliko maelezo ,hata haielezeki ...eti wanajiita wasomi.
ila mwananfunzi ni mwanafunzi tu.

.... Mkuu Nakwambia Hapa Kuna Watoto Wa Mitaani Wamekusanywa Na Kusombwa Kwa Wingi Kuja Kushangilia Nyani
 
HIZO HELA WANAZO POTEZA KUJADILI KATIBA.
WAPEWE MKOPO WANAFUNZI WA CHUO.KIKUU.
Maana ni kuingia na kutoka bungeni bilaakubaliano.mie maona hii ni mapema sana kuibadili katiba LABDA tusubili HAWA wazee WAFE.
 

asante mkuu, nimekuelewa vema hususani INAYOIVA HARAKA HUOZA HARAKA
 
Hapana wanafunzi wote udsm wako likizo na waliopo wameshushwa na mabasi ya uda hapa utawala huku nikishuhudia. Sio wanafunzi na wala sio watumishi wa udsm. Udasa wameleta aibu ya mwaka kuuaibisha usomi
 
Sijawahi kumchukia binadamu mwenzangu, lakini najikuta simpendi kabisa Mwigulu Nchemba
 
Anajikosha. Pengine ameshausoma upepo, hauvumi upande wao.
 
Huyu mwanasheria ana pupa hata haeleweki,sijui anaogopa au ka panick.....
 
Mbona kama vile wamepangwa hawa washiriki.Alietoka anaunga mkono s3 aliemaliza s2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…