Hii movie ipo chini ya Kijana mmoja anaitwa DANIEL ZENDA,alishamaliza chuo mda mrefu Lkn bado anakazania cheo cha Mwenyekiti wa Mkoa Wa Vyuo Vikuu!!Lakini "Injinia" Mkuu ni Dr Francis ambaye ndio Mwenyekiti Wa UDASA,kwa wanaokumbuka huyu yumo ktk Bunge la Katiba,la Siku alipowasilisha maoni yake ilizuka tafrani sana,huyu kaandaa mdahalo kwa maslahi ya chama cha Mapinduzi
DANIEL ZENDA ndiye aliyeratibu zoezi la kubeba vijana wa kwenda kuzomea na kushangilia...Vijana wengi wamekutania maeneo ya Buguruni na kupanda basi za UDA kwenda Nkurumah.
Huyu ZENDA ni mfuasi wa Wassira kindakindaki...hata vijana wangu wawili wa mtaani kwangu leo wameenda Nkurumah ili wapate hela ya vocha.Hapa ndipo tulipofikia kama Taifa...
Inaumiza sanaaa