OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
-
- #661
Huyu Wassira hajajibu swali la Dr.Kitila,hana sera.
Kazi nzuri Mwigulu...tumekusikia!!
Usikariri...maharage hayaivi haraka na yanaoza haraka...
Salama kabisa...naona Lisu anazomewa tu!!Habari za siku mkuu
Yaani ni uchafu kuliko maelezo ,hata haielezeki ...eti wanajiita wasomi.
ila mwananfunzi ni mwanafunzi tu.
vijana wa UDSM wako likizo ama?
kama waliomo hapo Nkurumah ni wana UDSM.
basi system ya elimu tz imekufa!!
Lissu anazomewa sana aisee.
Salama kabisa...naona Lisu anazomewa tu!!