Wewe ulitakaje?Kwa kweli UDASA mmetia aibu kwa kushindwa kuendesha mdahalo kitaalam. Hivi Lukuvi anafunga mjadala kama nani?
Wasimpo mashangilia hawalupwi leo. Na watu kama hawa wanaohjum taifa hili kwakupewa fedha lazima arobaini zao zije tena haraka. Ipo cku
Lissu anazomewa sana aisee.
Naona Lukuvi anashangiliwa sana kwa vifijo name nderemo.Lissu anazomewa sana aisee.
xaxa[/B] kitumbo si angeenda kama mwenyekiti kivuli wa Ccm B.
Naona Nyan Anaenda Chooni