Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Kweli wametoa mwanga kwa ccm na wafuasi wake wote ni vibaka wa mchakato huu wa katiba kwa kukataa kufata kanuni na kujadili hoja ambayo haiko mezani.CCM imetia aibu kwa lipi? Kilichofanyika leo kimetoa mwanga kwa kila mtu. CCM imeuanzisha mchakato wa katiba na itaumaliza salama salmini
hawezi towa maelezo yoyote maana ukweli umedhihili ni kamati kuu ya ccm iliandaa.
Yap...kwani kasema uongo? Hapo kuna aibu gani? Kumbuka CCM imepewa dahamana na wananchi ya kuiongoza hii nchi. Na nchi yetu wananchi wengi ni CCm.Wao kama wawakilishi wa wananchi...maamuzi yao ni sahihi. CCM inachokifanya ni kuheshimu tu maoni ya wachache(minority) ndio maana tunawasihi UKAWA warudi bungenikwa mengi lakini lakuudhi zaidi
Ni kada wa ccm, waziri ofisi ya rais W. Lukuvi
Pamoja na mawazo ya wasomi na wantazania wengine anasema wao (ccm) wanaenda kupitisha maamuzi.
Huu ni zaidi ya ujinga, anajifanya anamadaraka na maamuzi zaidi ya watanzania? anadhani hili taifa nila ccm peke yake?
Huko nikutia aibu yaani Maamuzi ya ubabe, lazima na udikiteta.
usipotoshe,.. amesema vyama vyote vimeadopt msimamo na vilifanya caucas meeting wakati wa bunge la katiba.Asema dhambi ya ccm ni kuweka msimamo wa kichama kama ulivyotolewa na jk wakati akifungua bunge
Kwa mara ya kwanza leo nimemsikiliza na kumuelewa koz hajasimamia upande mmoja na hivyo ndivyo anavyotakiwa kuwa kiongozi......kwangu mie nampa point 1 bado 99 zinamsubiri maana nyingi zimejikita kwenye mikakati yake ya chini kwa chini
Hongera kwa leo maana siasa sio ugonvi
Hapa nimeona wanafunzi wa vyuo mbalimbali hasa IFM nadhani watakuwa wameletwa, walichokosea sana ni zomeazomea na kupigia makofi vitu ambavyo si vya msigi.
Yap...kwani kasema uongo? Hapo kuna aibu gani? Kumbuka CCM imepewa dahamana na wananchi ya kuiongoza hii nchi. Na nchi yetu wananchi wengi ni CCm.Wao kama wawakilishi wa wananchi...maamuzi yao ni sahihi. CCM inachokifanya ni kuheshimu tu maoni ya wachache(minority) ndio maana tunawasihi UKAWA warudi bungeni
Tatizo Tundu lishu ameshawalisha mavi. Kila kitu mnaona mnaonewa na kila kitu mnaona kimebadilishwa. BTW mpinzani aachi asili...kila kitu kazi yake ni kupinga regardless kina manufaa kwake au hakinaKweli wametoa mwanga kwa ccm na wafuasi wake wote ni vibaka wa mchakato huu wa katiba kwa kukataa kufata kanuni na kujadili hoja ambayo haiko mezani.
Wote tumepata huo mwanga.
mh. lukuvi amedai kuwa mzee warioba amepeleka mapendekezo mapya mengine juu ya katiba Mpya
usipotoshe. amesema vyama vyote vilifanya makosa kuweka msimamo wa kichama kwa jambo linalohitaji maridhiano.Asema dhambi ya ccm ni kuweka msimamo wa kichama kama ulivyotolewa na jk wakati akifungua bunge