Edward Sambai
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 2,823
- 3,831
Ccm naona wameleta watu wa kupiga makofi na kuzomeaKama ilivyolipotiwa hapo mwanzo kuwa chama cha mapinduzi ccm kina mpango kabambe wa kupeleka watu wa kukodi kwenda kumzomea mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni na mjumbe wa UKAWA kwenye mdahalo hapa NKURUMAH HALL. hizi ni picha zikionyesha mabasi ya UDA yakishusha vijana hapa chuo kikuuu maeneo ya Utawala. Ntaendelea kuwapa updates!!!
Hivi wamekodiwa kupiga makofi mana hata upuzi wanapiga tu Tanzania tunayo safari ndefu kufika tutakapo
Daa Wassira ana mpa shule hapa Lissu!
CCm wameleta wapiga makofi