Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Hivi wamekodiwa kupiga makofi mana hata upuzi wanapiga tu Tanzania tunayo safari ndefu kufika tutakapo
 
Haya makofi ya kishenzi yanashiria nini? nizile fedha au?

maana nikupiga makofi as if nimkakati wa ushangiliji bila hoja ya maana.
 
sheria zinabadilishwa kutokana na mahitaji,sheria zinapitishwa kwamakubaliano
 
Kaaah! hawajamaa ndani ya nkulumo, kila sentensi atakayoongea wasira nimakofii tuu... mmmh???!!
 
Kama ilivyolipotiwa hapo mwanzo kuwa chama cha mapinduzi ccm kina mpango kabambe wa kupeleka watu wa kukodi kwenda kumzomea mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni na mjumbe wa UKAWA kwenye mdahalo hapa NKURUMAH HALL. hizi ni picha zikionyesha mabasi ya UDA yakishusha vijana hapa chuo kikuuu maeneo ya Utawala. Ntaendelea kuwapa updates!!!
Ccm naona wameleta watu wa kupiga makofi na kuzomea
 
Ccm wameleta wapiga makofi kila kitu makofi kweli wameoza na leo lumumba angetoa hoja jana niliiva leo mmmmh
 
Daa Wassira ana mpa shule hapa Lissu!
 
Hivi wamekodiwa kupiga makofi mana hata upuzi wanapiga tu Tanzania tunayo safari ndefu kufika tutakapo


Naanza kuamini maelezo ya mada moja hapa JF jana kwamba wahuzuriaji wanahongwa.

Haya makofi yakipuuzi yanathibitisha rushwa kutumika.
 
CCM naona wamelipa watu wawapigie makofi. Kila anachoongea wassira ni makofi hata kama hakina maana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
sasa mbona wassira anamuongelea lissu tu kila kitu tundu lissu alikuepo
 
kuna watu wamehongwa na ccm kupiga makofi ya kinafiki
 
Back
Top Bottom