Pre GE2025 Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bwahaa, bwahaaaaa, yaani nimecheka kwa nguvu hadi mtoto wangu kaamka. Tunaposema mnategemea mbeleko ya vyombo vya dola huu ndio ushahidi. Sehemu ambayo hamna mbeleko ya vyombo vya dola hamuwezi kutia team. Nyie mtaishia tu kupora uchaguzi kwa kubebwa na vyombo vya dola. Na siku hivyo vyombo vya dola vikiacha mshindane kwa haki, ndio kiama chenu.
 
ni ulofa kujadililiana na makatibu vivuli na mapambo 🐒
 
CCM na machawa wao ni wauaji wakubwa. Hawawezi kutokea kwenue mjadala huu waumbuliwe na watanzania. Mikono yao inaturirika damu za watanzania wanyonge wanaowaua kila siku. Mungu atawahukumu sawa sawa na matendo yao maovu.

Unaona sasa baada ya watanzania kuanza kuhoji mauaji, wamewaamuru TANESCO wazime umeme nchi nzima. Mashetani wakubwa wanaizaya!
 
Hata muwaelekeze TANESCO kuzima umeme hamuwezi kuchomoka nyie wauaji wakubwa!
 
Sifa za marehemu🤣🤣🤣
vitoto vidogo visivyo na hadhi yoyote vimesukumwa kama mazuzu na kushinikizwa na viongoz wao eti nendendi mjadiliane kwenye mdalaholo na Dr Nchimbi 🤣

hii kweli kali dah 🤣
 
Watanzania tungebubujikwa na machozi aisee!
 
Sema alichofanya nchimbi kakosea, Haiwezekani mtu unaombwa uudhurie mdahalo utaofanyika mwezi ujao alafu unaconfirm kuwa utakuwepo, Unaulizwa siku tano kabla unasema tena ndio utakuwepo alafu unaulizwa siku moja kabla unakataa. Not fair. Uchaguzi utakuwa mtamu hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…