Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Bwahaa, bwahaaaaa, yaani nimecheka kwa nguvu hadi mtoto wangu kaamka. Tunaposema mnategemea mbeleko ya vyombo vya dola huu ndio ushahidi. Sehemu ambayo hamna mbeleko ya vyombo vya dola hamuwezi kutia team. Nyie mtaishia tu kupora uchaguzi kwa kubebwa na vyombo vya dola. Na siku hivyo vyombo vya dola vikiacha mshindane kwa haki, ndio kiama chenu.ingekua ajabu ya dunia, eti daktari mzima wa falsafa Comrade Dr.Emmanuel Nchimbi kushiriki hicho kinachoitwa mdahalo usio na kichwa wala miguu, na hao vijanaa waliobebeshwa tu majina ya ukatibu mkuu kwenye vyama vyao, lakini kiuhalisia ni shadow SGs, hawana hadhi wala uwezo wa majukumu hayo kitaalamu 🐒