Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wakizima, mitandao itatumika kujulisha umma na picha ya Odemba akilia itaonekana mitandaoni.CCM na machawa wao ni wauaji wakubwa. Hawawezi kutokea kwenue mjadala huu waumbuliwe na watanzania. Mikono yao inaturirika damu za watanzania wanyonge wanaowaua kila siku. Mungu atawahukumu sawa sawa na matendo yao maovu.
Unaona sasa baada ya watanzania kuanza kuhoji mauaji, wamewaamuru TANESCO wazime umeme nchi nzima. Mashetani wakubwa wanaizaya!
relax gentleman, mihemko haibadili Ukweli kwamba katibu mkuu hana na kamwe hawezi kua na muda wala wasaa wa kufanya majadiliano au mdahalo na hao watoto vijana wasio na mbele wala nyuma...Lofa ni wewe na huyo katibu wenu mjinga mjinga aliyekimbia mdaharo eti dokta, dokta uchwara empty brain anakimbia mdahalo.
Punguza upumbavu!Habari ndio hiyo
Chief Odemba analia baada ya Mnyika kuwaingiza akina Shaibu kususia Mdahalo
Sasa Wanafunzi wa Chuo kikuu ndio wataendwlea na mjadala
Msilale
Umeshapanic 😂😂🔥Punguza upumbavu!
Kwendraa mbali takataka nyie. Na siku uoga utawaisha watanzania ndio mtajua hamjui.vitoto vidogo visivyo na hadhi yoyote vimesukumwa kama mazuzu na kushinikizwa na viongoz wao eti nendendi mjadiliane kwenye mdalaholo na Dr Nchimbi 🤣
hii kweli kali dah 🤣
Fuatilia live Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa Maktaba ya UDSM.
Fuatilia mubashara Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa Maktaba ya UDSM ambapo wanaotazamiwa kushiriki ni;
1. Dk. Emmanuel Nchimbi - CCM
2. Martha Chiomba - NNCR Mageuzi
3. Ado Shaibu ACT Wazalendo
4. Ahmad Masoud - CUF
5 John Mnyika - CHADEMA
Odemba akitangaza kwa masikitiko makubwa huku akilia amewaambiwa waliofika kwenye mdahalo huo kuwa Nchimbi mpaka muda huu hajatokea kwenye mdahalo, ambapo Mnyika amefika kwenye mhalo huo lakini kutokana na kuwa Nchimbi hayupo hivyo naye hatoshiriki kwenye mdahalo huo.
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shahibu amefika kwenye mdahalo huo, lakini kwakuwa wa CHADEMA na CCM hawashiriki naye pia amegoma kushirki, NCCR Mageuzi walituma mwakilishi, ila kwakuwa wengine hawashirki nao pia wamesema hawatashiriki.
Odemba amelaani vikali kilichotokea, lakini mjadala unaendelea hata baada ya changamoto hii kutokea ambapo yaliyopangwa kujadiliwa yatakuwa mjadala wa wazi kwa washiriki waliofika.
Dr with PHd ndio ang"ang"ane na hao vijana hata sijui wametoka wapi, kweli?🐒Watanzania tungebubujikwa na machozi aisee!
Kwani Dkt Nchimbi alithibitisha kushiriki?Walipata barua ya uthibitisho wa kushiriki?
Hayo ma PhD ya mchongo mtawatishia wajinga wasiojua lolote. Sisi tunajua ni elimu za kukariri lakini hawana lolote kichwani. Una PhD unakimbia mdahalo huru, unaenda kwenye vikao vya kupanga kuteka wapinzani, ukhanithi mtupu.Dr with PHd ndio ang"ang"ane na hao vijana hata sijui wametoka wapi, kweli?🐒
nadhani kama angeshiriki mdahalo huo huenda angefutwa kazi, kwasabubu ingekua ni uonevu na unyanyasaji kwa vijana....
daktari wa falsafa kufanya mjadala na nondoctors?🐒
relax tu kamanda,Kwendraa mbali takataka nyie. Na siku uoga utawaisha watanzania ndio mtajua hamjui.
Peleka useng@@e mbali.relax tu kamanda,
maana kama Dr.Nchimbi angehidhiria hicho mnachokiita mdahalo, kwanza ingekua ni uonevu na unyanyasaji kwa vijana na kwahivyo Dr nchimbi angeweza kuchukuliwa hatua na umoja wa madaktari wenzake wa falsafa kwa kunyanyasa vijana wasio na uelekeo wala hadhi ya udaktari 🐒
na hii ingekua fedheha kwa Taifa letu na chama Tawala kwa ujumla 🐒
Soccer pia ni mambo ya Wazungu!! Yetu ilikuwa kula matunda pori na ngono tuSimba na Yanga wanatosha...
Mambo ya wazungu tuachane nayo
Hilo ndo lilivyo kama ulivyoliitaPeleka useng@@e mbali.
tuliza mihemko uelezwe Ukweli,Peleka useng@@e mbali.
Angetuma hata mwakilishiKwani Dkt Nchimbi alithibitisha kushiriki?
CCM wapo katika mkutano wa Kamati Kuu Maalum, na wana Maandalizi ya Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa.
Hakuna mdahalo wa Nchimbi kukimbia hapo.