Pre GE2025 Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!

Pre GE2025 Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa unadhani NCHIMBI angeongea nini? Hana majibu ya maswali ambayo angeulizwa ndo maana kachimba.
 
CCM na machawa wao ni wauaji wakubwa. Hawawezi kutokea kwenue mjadala huu waumbuliwe na watanzania. Mikono yao inaturirika damu za watanzania wanyonge wanaowaua kila siku. Mungu atawahukumu sawa sawa na matendo yao maovu.

Unaona sasa baada ya watanzania kuanza kuhoji mauaji, wamewaamuru TANESCO wazime umeme nchi nzima. Mashetani wakubwa wanaizaya!
Hata wakizima, mitandao itatumika kujulisha umma na picha ya Odemba akilia itaonekana mitandaoni.
 
Lofa ni wewe na huyo katibu wenu mjinga mjinga aliyekimbia mdaharo eti dokta, dokta uchwara empty brain anakimbia mdahalo.
relax gentleman, mihemko haibadili Ukweli kwamba katibu mkuu hana na kamwe hawezi kua na muda wala wasaa wa kufanya majadiliano au mdahalo na hao watoto vijana wasio na mbele wala nyuma...

kwanza ni vizuri ukatambua katibu mkuu wa CCM ni daktari, na kwahivyo yafaa ajadiliane na madaktari wenzake, kujadiliana na hao vijana ni kuwaonea na actually ni unyanyasaji kwa vijana pia...

kubwa zaidi, hao vijana wa kusukumwa sukumwa hawana kazi na majukumu ya maana kwenye vyama vyao ndio maana hata wana muda wa kupoteza kwenye mambo yasiyo na tija...

Ratiba, majukumu mazito na kazi za katibu mkuu wa CCM, haziwezi kumpatia hata dk20 nje ya ofisi. Majukumu mazito ya maana ya kitaifa na kimataifa yamemzonga sana,

na hayo yote ni kwa maslahi mapana ya waTanzania wote 🐒
 
vitoto vidogo visivyo na hadhi yoyote vimesukumwa kama mazuzu na kushinikizwa na viongoz wao eti nendendi mjadiliane kwenye mdalaholo na Dr Nchimbi 🤣

hii kweli kali dah 🤣
Kwendraa mbali takataka nyie. Na siku uoga utawaisha watanzania ndio mtajua hamjui.
 
Fuatilia live Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa Maktaba ya UDSM.​

Fuatilia mubashara Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa Maktaba ya UDSM ambapo wanaotazamiwa kushiriki ni;

1. Dk. Emmanuel Nchimbi - CCM
2. Martha Chiomba - NNCR Mageuzi
3. Ado Shaibu ACT Wazalendo
4. Ahmad Masoud - CUF
5 John Mnyika - CHADEMA

Odemba akitangaza kwa masikitiko makubwa huku akilia amewaambiwa waliofika kwenye mdahalo huo kuwa Nchimbi mpaka muda huu hajatokea kwenye mdahalo, ambapo Mnyika amefika kwenye mhalo huo lakini kutokana na kuwa Nchimbi hayupo hivyo naye hatoshiriki kwenye mdahalo huo.

Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shahibu amefika kwenye mdahalo huo, lakini kwakuwa wa CHADEMA na CCM hawashiriki naye pia amegoma kushirki, NCCR Mageuzi walituma mwakilishi, ila kwakuwa wengine hawashirki nao pia wamesema hawatashiriki.

Odemba amelaani vikali kilichotokea, lakini mjadala unaendelea hata baada ya changamoto hii kutokea ambapo yaliyopangwa kujadiliwa yatakuwa mjadala wa wazi kwa washiriki waliofika.

Watu wameogopa kuachwa uchi
 
Watanzania tungebubujikwa na machozi aisee!
Dr with PHd ndio ang"ang"ane na hao vijana hata sijui wametoka wapi, kweli?🐒

nadhani kama angeshiriki mdahalo huo huenda angefutwa kazi CCM, kwasabubu ingekua ni uonevu na unyanyasaji kwa vijana....

daktari wa falsafa kufanya mjadala na nondoctors?🐒
 
Walipata barua ya uthibitisho wa kushiriki?
Kwani Dkt Nchimbi alithibitisha kushiriki?

CCM wapo katika mkutano wa Kamati Kuu Maalum, na wana Maandalizi ya Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa.
Hakuna mdahalo wa Nchimbi kukimbia hapo.
 
Dr with PHd ndio ang"ang"ane na hao vijana hata sijui wametoka wapi, kweli?🐒

nadhani kama angeshiriki mdahalo huo huenda angefutwa kazi, kwasabubu ingekua ni uonevu na unyanyasaji kwa vijana....

daktari wa falsafa kufanya mjadala na nondoctors?🐒
Hayo ma PhD ya mchongo mtawatishia wajinga wasiojua lolote. Sisi tunajua ni elimu za kukariri lakini hawana lolote kichwani. Una PhD unakimbia mdahalo huru, unaenda kwenye vikao vya kupanga kuteka wapinzani, ukhanithi mtupu.
 
Kwendraa mbali takataka nyie. Na siku uoga utawaisha watanzania ndio mtajua hamjui.
relax tu kamanda,
maana kama Dr.Nchimbi angehidhiria hicho mnachokiita mdahalo, kwanza ingekua ni uonevu na unyanyasaji kwa vijana na kwahivyo Dr nchimbi angeweza kuchukuliwa hatua na umoja wa madaktari wenzake wa falsafa kwa kunyanyasa vijana wasio na uelekeo wala hadhi ya udaktari 🐒

na hii ingekua fedheha kwa Taifa letu na chama Tawala kwa ujumla 🐒
 
Peleka useng@@e mbali.
 
Peleka useng@@e mbali.
tuliza mihemko uelezwe Ukweli,
actually, mathalan ingekua katibu mkuu wa chadema ni dr slaa au Dr Mashinji nadhani Dr nchimbi asingesita,

Lakini hizo shadow sgs, for sure hawana kabisa sifa wala hadhi za ukatibu ukuu Lakini pia hata kujadiliana na mbobevu mimi achilia mbali Dr nchimbi 🐒
 
Nchimbi ametoka wapi na hao watoto wa. mjini 🤣🤣🤣 saa hii atakuwa kawekewa drip la glucose 😎😎😎
 
Kwani Dkt Nchimbi alithibitisha kushiriki?

CCM wapo katika mkutano wa Kamati Kuu Maalum, na wana Maandalizi ya Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa.
Hakuna mdahalo wa Nchimbi kukimbia hapo.
Angetuma hata mwakilishi
 
Back
Top Bottom