Pre GE2025 Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Odemba: Lissu uliombwa Milioni 30 ukashindwa kuchangia kwajili ya Uchaguzi

Lissu: Mimi milioni 30 sina, kwani dhambi?
 
Ndio uwekwe mdahalo tuone kitakavyowaka, hiyo miradi ni ya the late 😹😹
mtumishi,
hukuna miradi ya mtu binafsi inayotekelezwa chini ya serikali sikivu ya CCM.
Kinachotekelezea ni ilani ya Uchaguzi ya CCM.

CCM hufanya midahalo moja kwa moja na wanainchi kuanzia ngazi ya shina kwa maneno na vitendo.

Na sio kulumbana kama hao wapiga makelele, porojo na mdomo 🐒
 
Kuchangia ushauri,kuchangia fedha,kuchangia Maisha,kuchangia kwa idadi inayotakiwa kama huna sio Dhambi!
 
Odemba: Mbowe amechangia Milioni 250 unasemaje?

Lissu: sawa lakini hiyo haimfanyi aendelee kuwa Mwenyekiti
 
Tundu Lissu: Tulinunua jengo na kulifanya makao makuu ya Chama kutokana na pesa za ruzuku ambazo zililimbikizwa
 
Mbona mnaogopa midahalo km mbowe? Nini shida jentroman? 😹😹😹

Hayo ya ilani ya chama wananchi tusiokuwa na vyama haituhusu, aje kwenye mdahalo tuwasikize wote..!!
 
Ameona Mbowe anayedai kila kitu kizuri cha Chadema amekitengeneza yeye, ameamua kuyakaimu maneno ya Mbowe😀
 
Mimi na Mnyika tulikuwa watu wa mwisho kuambiwa kuhusu Lowasa. Tulipohoji tuliambiwa wajumbe wengine wote walishakubali.
Dr.Slaa ndiye aliyeanzisha mawazo ya kumleta Lowasa, ndiye aliyenipigia simu. Gwajima ndiye aliyekuwa mshenga wa Lowasa.
Sasa ilikuwaje slaaa akaondoka wakati yeye ndie alimleta lowasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…