Pre GE2025 Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tundu Lissu: Tume ya Uchaguzi, ni tume ya Rais. Wafanyakazi wa tume wanakula kiapo kwa Rais
 
Odemba: Mlisema hamtashiriki uchaguzi wowote,mbona baadae mnashiriki?

Lissu: Chini ya uongozi wangu hakuna kitu kama hicho, mwenyekiti atatoa msimamo wa wananchi. Tumekuwa na ndimi mbili huko nyuma. Tunasema hatutashiriki huku tunaandaa watu wagombee
 
Leo Lissu ataniua mbavu, hii moto na barafu nacheka mno.
 
Mtu mhimu amekosekana mbona hapo.Naona Lisu anafanya mdahalo mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…