Pre GE2025 Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Odero ni mtu wa wapi? Hawezi kutamka neno H, badala Hapana anasema apana, Hiki anasema iki...
 
Lissu: Mimi sitakua kiongozi ambaye huku anatema moto na huku anatema barafu🤪😂
 
Tunahitaji harakati ambazo hazijawahi kutokea, kuunganisha nguvu ya makundi yote kila mtu. Hapo inahitaji mtu mwenye credibility...Lissu
 
Mbowe HAWEZI kushiriki mdahalo na Mropokaji Lissu.
 
Odemba: Chadema mmekuwa na matokeo mabaya kwenye chaguzi mbalimbali, ipi mipango yako ikiyokea utashinda nafasi ya mwenyekiti?

Lissu: Niweke wazi kwanza, Chadema hatushindwi kwenye chaguzi, bali wagombea wetu huzuiliwa kugombea.

Nikiwa mwenyekiti, nitaunganisha nguvu kwa makundi mbalimbali ili kupambana na mfumo huu wa CCM
 
Odero amuunge mkono Lissu atapata kura moja yake mwenyewe 😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…