Pre GE2025 Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kinacho furahisha kwenye huu mdahalo sio tu nyinyi audience ambao hamumjui Odero.

Hata Lissu leo akihojiwa na Azam alisema hajawahi kuonana naye.

Lakini Odero alihojiwa akasema alimtengeneza Lissu yani ni matunda yake.

Odero ana vinasaba vya ukenya. Kila kilicho kizuri anasema chakwake au ameki influence yeye.
 
"Mabadiliko tunayoyataka nje ya Chama, tunayataka ndani ya Chama...."
Odero,2025.
 
Hamna jipya hapo toka kwa Lissu ni mitusi na lawama sizizo na msingi.
Ni sababu gani imefanya afisa masurufu wa makao makuu kulipa wajumbe 400 kwa cash badala ya kutumia teknolojia!!??
Kwa nini wasitumiwe Makatibu wa Kanda au Mikoa!?
 
Hivi kina Odero sio wakenya??
Mbona Lissu anadai hamfahamu jamani 😹😹

Hawa watu wawili hawajuani mjue
 
Odero: Nikiwa Mwenyekiti nitaendesha mambo kwa uwazi kwa wanachama
 
Likitokea lakutokea Odero akashinda huu uchaguzi nafikiri ndio atakuwa wa kwanza kupinga matokeo🐼
 
Mbowe kalala mbele😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…