OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ndio anajibuKaulizwa?
Anhaaaaβ¦.Mimi na Mnyika tulikuwa watu wa mwisho kuambiwa kuhusu Lowasa. Tulipohoji tuliambiwa wajumbe wengine wote walishakubali
Damn! Nipo kwenye conference call naangalia tu bila sauti πNdio anajibu
Ndio uwekwe mdahalo tuone kitakavyowaka, hiyo miradi ni ya the late πΉπΉkukamilisha Mwalimu Nyerere Dam and Hydropower Plant na SGR, treni ya mwendokasi ni mdahalo tosha mtumishi,
Dr Samia Suluhu Hassan anapiga kazi ili kuhakikisha, kila mTanzania anaonja na kuifurahia keki ya Taifa.π
Dr.Slaa ndiye aliyeanzisha mawazo ya kumleta Lowasa, ndiye aliyenipigia simu. Gwajima ndiye aliyekuwa mshenga wa Lowasa.Anhaaaaβ¦.
Hahahahaha.... huyu mwamba naye ni ubaya ubwelaOdemba: Odero ikiwa usingegombea unadhani kura yako ingeenda kwa nani?
Odero: Na bahati nzuri Odero nagombea kwa hiyo kura ya kwanza ni kwa Odero ya pili ingeenda kwa Odero na yatatu ingeenda kwa Odero.